PostGE2025 Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa, sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Atafanya maridhiano na vyama gani vya siasa? Hivi alivyoshiriki navyo kwenye "uchaguzi" wake wa mwaka huu, au!! Na anaweza kutuambia sababu hasa zilizosababisha maridhiano ya awali kushindikana?
 
Maliziano yalishafanyika enzi za mboe lakini yalishindikana
 
Ni huzuni nani kampa ridhaa?
 
Aseme tumuinee huruma na atafanya maridhiano ili kjwe na utulivu tujenge nchi yetu.

Kabla ya yote, aanze kuwafyatua wahuni wote.
 
Nani kakupa ridhaa bana, we si umepata 7% ya kura zilizopigwa kwani hatujui.
 
Ridhaa hajapewa na Watanzania bali na tume ya uchafuzi aliyoiteua. Hana uhalali wa kujiita raisi wa Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…