Umesharudi toka Nairobi?Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwanini Rais wa nchi hasimami na kuweka mambo sawa?
Kama hili la Wamasai kuondolewa kwanini Mkuu wa nchi hatoki na kusema kuna hiki na kile, kwanini watu wanaiongelea Serikali?
Kuna watu wanaamini kabisa Wamasai wanaondolewa kwa nguvu wakati Serikali inasema ni hiari, sasa kwanini Rais hasimami na kuongea kumaliza mjadala?
Rais SSH Kaamua maneno yawe machache vitendo ndio viongee. La Loliondo limekuwepo tangu awamu ya pili ya Mzee Mwinyi kaamua kulimaliza kabisa.Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwa nini Rais wa nchi hasimami na kuweka mambo sawa?
Kama hili la Wamasai kuondolewa kwa nini Mkuu wa nchi hatoki na kusema kuna hiki na kile, kwa nini watu wanaiongelea Serikali?
Kuna watu wanaamini kabisa Wamasai wanaondolewa kwa nguvu wakati Serikali inasema ni hiari, sasa kwa nini Rais hasimami na kuongea kumaliza mjadala?
Rais SSH Kaamua maneno yawe machache vitendo ndio viongee. La Loliondo limekuwepo tangu awamu ya pili ya Mzee Mwinyi kaamua kulimaliza kabisa.
La wamachinga lilikuwa likiondoka na kurudi akaamua kulimaliza mazima. Hana mikwara ya kutokwa mapovu mpaka mishipa ya shingo ijitokeze usoni.
Wangekuwa hawaelewi nini kinaendelea wasingekuwa kimya wakiridhika na kinachoendelea. Huu ndio uongozi matumizi ya akili na nguvu vinakwenda sawa.Hiyo siyo leadership, kama wananchi unaowaongoza hawaelewi nini kinaendelea Kiongozi anapaswa kuongea na kuongea maana yake siyo kutokwa povu, bali unaweza kuongea kwa kawaida tu!
Maoni yako binafsi haya. Pangekuwa hakuna akili serikali yake isingefanikisha vitu vikubwa tena kimya kimya.Utatumiaje akili kama hamna akili ?
Ndio maana Ikulu kuna msemaji mkuu na mtu wa habari hao wapo kwa ajili ya kumuongelea Rais, je siku tukiwa na Rais bubu utamlazimisha aongee.
Rais anaongea pale inapobidi
Ndio maana mwisho nikasema Rais anaongea pale inapobidi km vile kuhutubia Taifa ila sio mropokaji wa kila jambo linalotokea yeye akurupuke aongee hapo ataharibu kwa hiyo muache kwanza atafakari haya yanayojiri atakuja kuyaongea kwa summaryNdiyo, kuna namna ambayo Bubu anaweza kufikisha ujumbe kwa walengwa, btw kwa hiyo walioweka hotuba kwa Maraisi wote Duniani walikuwa ni wajinga kama raisi hana haja ya kutolea ufafanuzi jambo lolote kwa kuwa ana wasaidizi?
Raisi wa nchi haropokiropoki. Uraisi ni taasisi hata akiongea IGP tu kuongea raisi.Hiyo siyo leadership, kama wananchi unaowaongoza hawaelewi nini kinaendelea Kiongozi anapaswa kuongea na kuongea maana yake siyo kutokwa povu, bali unaweza kuongea kwa kawaida tu!
Siyo mambo yote aseme rais kuna wizara.Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwa nini Rais wa nchi hasimami na kuweka mambo sawa?
Kama hili la Wamasai kuondolewa kwa nini Mkuu wa nchi hatoki na kusema kuna hiki na kile, kwa nini watu wanaiongelea Serikali?
Kuna watu wanaamini kabisa Wamasai wanaondolewa kwa nguvu wakati Serikali inasema ni hiari, sasa kwa nini Rais hasimami na kuongea kumaliza mjadala?