Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Kusema na kuandika ni rahisi lakini kutenda ni mtihani.Mbona Rais wa Marekani au PM wa Uingereza wao hawasafiri mara kwa mara kwenda kwneye nchi za wengine? tuchapeni kazi tuache kuomba omba kijinga, hakuna mtu alifanikiwa kwa kuomba omba hata mmoja, ardhi tunayo, madini, mito, mbunga kubwa, wanyama wa kila aina, tulichokosa ni akili na mfumo mbovu lakini MUNGU alitupa rasilimali zote hapa duniani