Rais Samia kwanini hasemi chochote popote kuhusu mambo muhimu?

Rais Samia kwanini hasemi chochote popote kuhusu mambo muhimu?

Mbona Rais wa Marekani au PM wa Uingereza wao hawasafiri mara kwa mara kwenda kwneye nchi za wengine? tuchapeni kazi tuache kuomba omba kijinga, hakuna mtu alifanikiwa kwa kuomba omba hata mmoja, ardhi tunayo, madini, mito, mbunga kubwa, wanyama wa kila aina, tulichokosa ni akili na mfumo mbovu lakini MUNGU alitupa rasilimali zote hapa duniani
Kusema na kuandika ni rahisi lakini kutenda ni mtihani.
 
Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwa nini Rais wa nchi hasimami na kuweka mambo sawa?

Kama hili la Wamasai kuondolewa kwa nini Mkuu wa nchi hatoki na kusema kuna hiki na kile, kwa nini watu wanaiongelea Serikali?

Kuna watu wanaamini kabisa Wamasai wanaondolewa kwa nguvu wakati Serikali inasema ni hiari, sasa kwa nini Rais hasimami na kuongea kumaliza mjadala?
Kaza... Jpm si alikua anasema mkasema anaingilia majukumu,

Subiri waziri wa ardhi yupo ataongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiujumla Serikali ya Mama imejikita katika Matumiz ya Akili si nguvu
Sema akili inayotumika ni akili ya Upigaji wa Panya "Ng'ata puliza"

Swala la wamasai ni hoja za wapinzani wanaodhani wamepata point ya kuikosoa serikali lakini kimsingi liko wazi tena clear

Akizungumza sana tutamfananisha na mjomba kila siku headlines yeye tu. Wapemba wanamdomo mwingi nyie bora akae kimya tu akianza kuongea hamalizi leo.
 
Back
Top Bottom