figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mbona hazikuonekana huko nyuma?Hizo video ni za muda mrefu sana acheni uchochezi
Hizo video ni za kenyaRais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?
Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei?
Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela
Hata rais Samia katika awamu yake ya sita 2025, hajajishughulisha na Christmas.
Asanteni Waislam kwa kutususia vyakula🙏
View attachment 3520613
Muislam utakulaje chakula cha krismass? Ili iwe nini?Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?
Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei?
Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela
Hata rais Samia katika awamu yake ya sita 2025, hajajishughulisha na Christmas.
Asanteni Waislam kwa kutususia vyakula🙏
View attachment 3520613
Akili za Karani wa masijala aka aliyekuwa na ndoto za u air hostessRais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?
Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei?
Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela
Hata rais Samia katika awamu yake ya sita 2025, hajajishughulisha na Christmas.
Asanteni Waislam kwa kutususia vyakula🙏
View attachment 3520613
Wewe wala usile kataa hivyo hivyo eboh!kuomba kuchinjiwa mbuzi au kuku, kwa hiyo tunajua kabisa hiki chakula ni sawa kula.
Maimamu wa Msikiti walikuwa wanajipatia dili hapo kuchinjia ndugu zetu.
Kwa sasa mbuzi amechinjwa na Masawe huko Kimara halafu unategemea nile msosi ukinilitea, haiwezekani
na alivyo mjinga samuya anadhan atafanikiwa ....anadhan hii ni miaka 60 ...samuya hafai hata kuitwa binadamuNdo agenda aliyobaki nayo
Kwa Sasa anatumia udini
Mbona mnaumia sana tukisema hatulii mpaka mnaanzisha nyuzi karibia 10 zipo hapaWewe wala usile kataa hivyo hivyo eboh!
Ninunue mbuzi wangu 180,000/= mkaa wangu maji yangu sahani zangu unitishe hautakula,who are you?(in sa100’s voice)
Mpama miaka hii nazeeka sijawahi kusikia kitu kama hichi.Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?
Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei?
Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela
Hata rais Samia katika awamu yake ya sita 2025, hajajishughulisha na Christmas.
Asanteni Waislam kwa kutususia vyakula🙏
View attachment 3520613
Kwa namna hali ilivyo kwa sasa, ilitakiwa Kiongozi mmoja wa juu wa Kiislamu atokee mbele ya kamera hata akiwa anakula pilau na Malasusa kwasababu huyu ni mtu wao.Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?
Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei?
Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela
Hata rais Samia katika awamu yake ya sita 2025, hajajishughulisha na Christmas.
Asanteni Waislam kwa kutususia vyakula[emoji120]
View attachment 3520613