Hakuna anayeumia hata mimi huwa sili vyakula vya sikukuu kwenye majumba ya watu wakati wa sikukuu za kiislam (siyo kwamba nakatazwa au nabagua kwa sababu ya imani yangu) kinachopigiwa kelele hapa ni kwanini awamu hii imefikia watu tena viongozi wa hii dini kuongea pumba kiasi hiki?
Huko nikujitia umuhimu ambao hamna,usually hizi sikukuu huwa hatupeani official invitation (ziwe za Kikristo au Kiislam,binafsi sijawahi ktk maisha yangu sasa nina 40+ kualikwa) inakuwa ni ile bahati kama ni mbaya au nzuri umepita mtaa anaoishi jamaa yako akakukaribisha ndani kula so unaweza ukaona jinsi hili jambo lilivyokuwa halina maana hata kuitishwa press kuongea upumbavu ndiyo maana huwa waislam inafikia mahali wanadharauliwa kwa sababu vitu wanavyojitokeza kuzungumza vinakuwa ni vya kitoto na kijinga.
Majuzi hapa wamekufa watu dozens of dozens wamekaa kimya leo wanaibuka na hoja ya ubwabwa sijui kusherehekea ni dhambi so walipokufa watu wasiokuwa na hatia kwao siyo dhambi dhambi ni kula vyakula vya wasiokuwa waislam?stupid kabisa.