Fanfa
JF-Expert Member
- Sep 25, 2009
- 2,399
- 3,775
Sasa naelewa kwa nini rafiki yangu muislamu hakujibu meseji niliyomtumia ya Heri ya Christmas. Kumbe wanafundishwa ujinga huu na watu ambao akili zao zimekimbilia matakoni
Sasa naelewa kwa nini rafiki yangu muislamu hakujibu meseji niliyomtumia ya Heri ya Christmas. Kumbe wanafundishwa ujinga huu na watu ambao akili zao zimekimbilia matakoni
Hio migongano ndio silaha ya serikali kwa sasa wanapenda haya mambo yaendeleeKwa namna hali ilivyo kwa sasa, ilitakiwa Kiongozi mmoja wa juu wa Kiislamu atokee mbele ya kamera hata akiwa anakula pilau na Malasusa kwasababu huyu ni mtu wao.
Pia Serikali ina viongozi wengi wa Kiislam, kama protocal zinakataa kwa Rais kuonekana anakula basi angetumwa hata Waziri yoyote Muislamu kwenda kufinya pilau la Chrismass kwa kiongozi yoyote wa Kikristo halafu wanaachia vyombo vya habari kusambaza picha na neno la kushukuru kwa mwaliko na kusifia pilau ilivyokuwa tamu
Hii ndo inaitwa damage control na wote waliotoa matamko yao ya hovyo wangebaki midomo wazi
Hapana sema ni za AI.Hizo video ni za muda mrefu sana acheni uchochezi
Nawashangaa wakristo wanaotaka waisilamu wale makwao, inaonekana wana vyakula vingi sana hadi wanaitia watu. Huko mahotelini hadi kwa mama ntilie watu wanakula kuku wa kisasa waliochinjwa hadi na mahouse girl walioko period, ndio waje kuendekeza upuuzi sijui ni hadi kuku achinjwe na muisilamu? Hakuna umoja huo wa kipuuzi, pika chakula chako kula na walio tayari, habari sijui muisilamu hajala kwangu ni kuendekeza imani za kipuuzi.Ni hivi zamani tulikuwa tunakula na wakristo kwa sababu walikuwa wanaheshimu dini za wengine, na lazima anakuja kuomba kuchinjiwa mbuzi au kuku, kwa hiyo tunajua kabisa hiki chakula ni sawa kula.
Maimamu wa Msikiti walikuwa wanajipatia dili hapo kuchinjia ndugu zetu.
Kwa sasa mbuzi amechinjwa na Masawe huko Kimara halafu unategemea nile msosi ukinilitea, haiwezekani
Kwa hiyo unadhani waliotamka hayo wanabahatishaKwa namna hali ilivyo kwa sasa, ilitakiwa Kiongozi mmoja wa juu wa Kiislamu atokee mbele ya kamera hata akiwa anakula pilau na Malasusa kwasababu huyu ni mtu wao.
Pia Serikali ina viongozi wengi wa Kiislam, kama protocal zinakataa kwa Rais kuonekana anakula basi angetumwa hata Waziri yoyote Muislamu kwenda kufinya pilau la Chrismass kwa kiongozi yoyote wa Kikristo halafu wanaachia vyombo vya habari kusambaza picha na neno la kushukuru kwa mwaliko na kusifia pilau ilivyokuwa tamu
Hii ndo inaitwa damage control na wote waliotoa matamko yao ya hovyo wangebaki midomo wazi
Ni agizo la Samia ili kuwagawa Watanganyika apate ahueni ya kuitawala Tanganyika.Baada ya kuona kuwa hoja ya kudai haki na uwanja sawa wa kisiasa imewaunganisha Watanganyika bila kujali itikadi za vyama ndiyo amebuni huu mradi wa kutumia dini ili kuwagawa watu.Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?
Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei?
Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela
Hata rais Samia katika awamu yake ya sita 2025, hajajishughulisha na Christmas.
Asanteni Waislam kwa kutususia vyakula🙏
Huko mahotelini, kwa mama ntilie mnapokulaga mnajua kachinja nani? Mbona tunakutana wote huko na hamzuii watu wenu wasile hukoNi hivi zamani tulikuwa tunakula na wakristo kwa sababu walikuwa wanaheshimu dini za wengine, na lazima anakuja kuomba kuchinjiwa mbuzi au kuku, kwa hiyo tunajua kabisa hiki chakula ni sawa kula.
Maimamu wa Msikiti walikuwa wanajipatia dili hapo kuchinjia ndugu zetu.
Kwa sasa mbuzi amechinjwa na Masawe huko Kimara halafu unategemea nile msosi ukinilitea, haiwezekani
HahahaSasa naelewa kwa nini rafiki yangu muislamu hakujibu meseji niliyomtumia ya Heri ya Christmas. Kumbe wanafundishwa ujinga huu na watu ambao akili zao zimekimbilia matakoni
Wajinga mnadanganywa kuhusu chakula na hao masheihk ubwabwa na mnaamini kweli..
They thunk they will win? Never its too late for TanzaniaHio migongano ndio silaha ya serikali kwa sasa wanapenda haya mambo yaendelee
Sio kama napinga kinachosemwa huo ni msimamo sahihi jomba...Hapana sema ni za AI.
Ndio shekhe anawahusia walio waislm wasiwadoee misosi yenu,Wewe wala usile kataa hivyo hivyo eboh!
Ninunue mbuzi wangu 180,000/= mkaa wangu maji yangu sahani zangu unitishe hautakula,who are you?(in sa100’s voice)
Hakuna anayeumia hata mimi huwa sili vyakula vya sikukuu kwenye majumba ya watu wakati wa sikukuu za kiislam (siyo kwamba nakatazwa au nabagua kwa sababu ya imani yangu) kinachopigiwa kelele hapa ni kwanini awamu hii imefikia watu tena viongozi wa hii dini kuongea pumba kiasi hiki?Mbona mnaumia sana tukisema hatulii mpaka mnaanzisha nyuzi karibia 10 zipo hapa
kutokujibu iyo salamu ni criminal offenseSasa naelewa kwa nini rafiki yangu muislamu hakujibu meseji niliyomtumia ya Heri ya Christmas. Kumbe wanafundishwa ujinga huu na watu ambao akili zao zimekimbilia matakoni
Kwani umealikwa ubatizwe au kula? Kwahiyo ukialikwa kwenye harusi utakuwa unasherehekea ww kuolewa?Sio kama napinga kinachosemwa huo ni msimamo sahihi jomba...
Ni haramu kusheherekea sikukuu za kikafiri yaani ni sheherekee kuzaliwa kwa MUNGU duh! ALLAH aniepushe na ukafiri huu
Ona hili chizi kwahio mwanamke akiwa period anakua haramu? Hivi nyie huyo mungu wenu ni punguani? Period ni moja ya ukamilifu wa mwanamke are you mad?Nawashangaa wakristo wanaotaka waisilamu wale makwao, inaonekana wana vyakula vingi sana hadi wanaitia watu. Huko mahotelini hadi kwa mama ntilie watu wanakula kuku wa kisasa waliochinjwa hadi na mahouse girl walioko period, ndio waje kuendekeza upuuzi sijui ni hadi kuku achinjwe na muisilamu? Hakuna umoja huo wa kipuuzi, pika chakula chako kula na walio tayari, habari sijui muisilamu hajala kwangu ni kuendekeza imani za kipuuzi.