Rais Samia, kwanini ‘Masheikh wa awamu ya sita’ wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?

Ona hili chizi kwahio mwanamke akiwa period anakua by haramu? Hivi nyie huyo mungu wenu ni punguani? Period ni moja ya ukamilifu wa mwanamke are you mad?
Kwamba mwanamke anaingia msikitini akiwa kwenye siku zake? Ama sielewi unaongelea ukamilifu upi kwa mujibu wa dini ya kiisilamu?
 
Kwamba mwanamke anaingia msikitini akiwa kwenye siku zake? Ama sielewi unaongelea ukamilifu upi kwa mujibu wa dini ya kiisilamu?
Acha nikale kitimoto akili isha vurugwa
 
Hili gazeti lote la nini kama haiwauumi
Msimamo ni hatuli
 
Hakika,
Hiki ndicho walichofanya masheikh ubwaba
 
Mbona mnaumia sana tukisema hatulii mpaka mnaanzisha nyuzi karibia 10 zipo hapa
Mimi naumia, kwa nini mkatae kula?
Nashukuru Mungu marafiki zangu wa Kiislamu hawana roho mbaya kama hizo. Sisi iwe Eid au Christmas tunasherehekea vizuri sana
 
Your browser is not able to display this video.
 
Wanakataza behind the scene wanaenda kukipitia 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…