Rais Samia kwanini nawe nakuomba usiyaamini Matokeo ya Jana ya Kidato cha Sita ya nchi nzima?

Naomba mwenye ile audio ya SSH akisema mwaka huu hakubali mpaka matokeo ya wanafunzi wa unguja (sehemu aliyozaliwa) yawe mazuri AITUME.
Mh sasa huko unguja kwenyewe matokeo yamekuwaje ....mbona mm naona ni yale yale tu wamepasuka tena
 
Nikikumbuka zaman kwanza tokeo likitokaga mnakwenda kutazama ofisi ya mkoa au internet cafe unatoa jero lako nusu saa iyoo kisha unafunguliwa pale aiseee ilikuwaga ni balaa enzi zile ni mi div 0 kama utitiri tu mitaan mi four kama inzi

Ndalichako alikuwa ana komesha sanaa
 
Matokeo ya mwaka huu inaonesha wazi ni ya kimkakati dhidi ya shule za binafsi ambazo zimekuwa zikiongoza kwa muda wote.

Siasa kwenye elimu ni kuua taifa.
 
Kwani si wanajua kusoma na kuandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…