HAYA NI MATOKEO YA KUANGUKA KWA ENEO MUHIMU LA KUPATA KODI YAANI BIASHARA:
Unafanya examination ya hesabu za makaratasi 5 years back, unakuja na kodi, adhabu, interest kubwa inayoumiza mfanyabiashara, unafunga account, biashara zinakufa au zinashake. Unapunguza matumizi ya serikali mahotelini, mahoteli yanafungwa pamoja na biashara zote zinazoambatana na hayo mahoteli. Unaruhusu machinga wasimame mbele ya maduka nayo yanakufa. Wanyonge wanafurahi sana.
Corona inaingia inapigilia msumari. Wanyonge wanafurahia zaidi.
SERIKALI HAINA NAMNA ZAIDI YA KURUDI KWA WANYONGE NA KUWAOMBA USHIRIKIANO KATIKA KIPINDI HIKI CHA MPITO.