Rais Samia kwanini unafanya hivi? Ni wapi tumekukosea?

Hicho chuo kimeifikisha hapa Tanzania.
Yani kwa mwendo huu watanzania mungu atutetee tu.. manke hat huy alianz kuonyesh solv y kukoskan kw hela AKaAnZ kuajiri lakin kumbe ilkuw karibu mgeni.. bao l kwanza tu
 
Hataki kuongeza mishahara na kupandisha madaraja wafanyakazi, hapo hapo anataka akamue tozo kila eneo, hii Tanganyika inahitaji kuongozwa na watanganyika wenyewe. Tusipotezeane uelekeo, tunahitaji katiba mpya sasa.
Kuhusu kupandisha wafanyakazi madaraja nitamtetea.
Kapandisha madaraja wafanyakazi wote waliotakiwa kupandishwa baada ya kufanyiwa roho mbaya na jiwe
 
Kuhusu kupandisha wafanyakazi madaraja nitamtetea.
Kapandisha madaraja wafanyakazi wote waliotakiwa kupandishwa baada ya kufanyiwa roho mbaya na jiwe
Kuna wafanyakazi kibao waliostahili kupanda hawakupanda, believe me tena wengine mwaka wa saba huu...
 
Hilo tatizo litakuwa la maafisa utumishi katika ofisi zao
Ndo hapo sasa, kwa sababu waziri wa utumishi ameshaonyesha nia ya kufuatilia maswala ya watumishi angetakiwa pia kufanya ziara za kushtukiza huko kwenye taasisi angejionea mwenyewe maafisa utumishi walivyojipa umungu mtu..........haya mambo yanashusha sana morale makazini.......
 
HAYA NI MATOKEO YA KUANGUKA KWA ENEO MUHIMU LA KUPATA KODI YAANI BIASHARA:

Unafanya examination ya hesabu za makaratasi 5 years back, unakuja na kodi, adhabu, interest kubwa inayoumiza mfanyabiashara, unafunga account, biashara zinakufa au zinashake. Unapunguza matumizi ya serikali mahotelini, mahoteli yanafungwa pamoja na biashara zote zinazoambatana na hayo mahoteli. Unaruhusu machinga wasimame mbele ya maduka nayo yanakufa. Wanyonge wanafurahi sana.

Corona inaingia inapigilia msumari. Wanyonge wanafurahia zaidi.

SERIKALI HAINA NAMNA ZAIDI YA KURUDI KWA WANYONGE NA KUWAOMBA USHIRIKIANO KATIKA KIPINDI HIKI CHA MPITO.
 
Hujui huyu ni Mzanzibari anatawala kwingine.
 
Mwacheni mama aendelee kuupiga mwingi mpaka 2025.

Tozo zimempaisha sana mama. Sasa aongeze wigo wa Tozo.

Nchi itakaa sawa.
 
Lipa kodi tu! Wafanyakazi wameonewa sana kwa kuwaendeshea nchi. Sasa kila Mwananchi awajibike kujenga nchi
 
Serikali ya mitano tena hii! Mlilia sana na mkasema mmerudi madarakani kwa ushindi wa kishindo sasa pateni tozo kishindo
 
Naona mama anapiga simu kwenye matamasha.

Badala awaze namna ya kupunguza haya matozo anatazama show za zuchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…