Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hai+ hafai+hafaiKuna maeneo mbolea ya kupandia (50kg) ni Tsh. 100,000/-, na na mahindi gunia ~ 100 kg) ni 25,00 Tsh.
Yaani gunia 4 zinanunua mfuko 1 wa mbolea.
Nasikia tunakonunua viwanda vimeathiriwa vibaya na Covid
Ni kweli mkuu lakini tutawapa nan nchi wale wabelgiji? hapana yani hii nchi bora wapewe watu wa medani hao wanasiasa wote high asKila tukiimba hapa kuwa CCM ilishafeli kuongoza hili Taifa hamsikii.Sasa mtaelewa kwa matendo yao.
Kashindwa kupandisha mishahara ambayo haijawahi kupanda kwa miaka sita simply because HALI YA KIUCHUMI NI MBAYA AKACHOMEKEA NA SABABU YA KORONA sasa raia ambao walilalamika na kuomba mshahara uongezwe kidogo wakanyimwa MALIPO YAKE WANAONGEZEWA MAKODI YA KIWENDAWAZIMU as if hiyo korona na uchumi mbaya wao haukuwahusu..Haya yote yanayoendelea nadhani tunayaona na hii itoshe kusema CCM hawana nia tena na kuongoza nchi.
Mmeongeza Kodi sawa, ndio iwe mara mbili? Ongezeko la 100% tena kwa kipindi hiki? HAPANA
Mama hii ni Kodi ya dhulma, haikubaliki. Watanzania wengi wamejiajiri kwenye kilimo lakini napo umeamua kuongeza kodi mara mbili kwenye mbolea.
Kweli tutaisoma namba, sasa hivi kila kitu beini mara mbili ukiuliza unaambiwa kodi mpya. Tutakoma.
Wale wakulima wenzangu kazi tunayo
Nilitegemea mama katika jitihada zako za kukuza uchumi basi ungepunguza haya makodi hasahasa kwenye sekta ya kilimo, Ila imekuwa vice versa
Mama kaupiga mwingi mpaka sasa ana anza kutoa bokoHaya yote yanayoendelea nadhani tunayaona na hii itoshe kusema CCM hawana nia tena na kuongoza nchi.
Mmeongeza Kodi sawa, ndio iwe mara mbili? Ongezeko la 100% tena kwa kipindi hiki? HAPANA
Mama hii ni Kodi ya dhulma, haikubaliki. Watanzania wengi wamejiajiri kwenye kilimo lakini napo umeamua kuongeza kodi mara mbili kwenye mbolea.
Kweli tutaisoma namba, sasa hivi kila kitu beini mara mbili ukiuliza unaambiwa kodi mpya. Tutakoma.
Wale wakulima wenzangu kazi tunayo
Nilitegemea mama katika jitihada zako za kukuza uchumi basi ungepunguza haya makodi hasahasa kwenye sekta ya kilimo, Ila imekuwa vice versa
Watu wa medani ni akina nani?Ni hawa vichaa waliotengeneza nyungu ya kujifukizia pale Muhimbili kisha walipopatwa na Corona wakakimbilia Nairobi Hospital kwenye mitungi ya Oxygen?Ni kweli mkuu lakini tutawapa nan nchi wale wabelgiji? hapana yani hii nchi bora wapewe watu wa medani hao wanasiasa wote high as
Haya yote yanayoendelea nadhani tunayaona na hii itoshe kusema CCM hawana nia tena na kuongoza nchi.
Mmeongeza Kodi sawa, ndio iwe mara mbili? Ongezeko la 100% tena kwa kipindi hiki? HAPANA
Mama hii ni Kodi ya dhulma, haikubaliki. Watanzania wengi wamejiajiri kwenye kilimo lakini napo umeamua kuongeza kodi mara mbili kwenye mbolea.
Kweli tutaisoma namba, sasa hivi kila kitu beini mara mbili ukiuliza unaambiwa kodi mpya. Tutakoma.
Wale wakulima wenzangu kazi tunayo
Nilitegemea mama katika jitihada zako za kukuza uchumi basi ungepunguza haya makodi hasahasa kwenye sekta ya kilimo, Ila imekuwa vice versa
🤣Kesho wamemtuma Burundi.... hahahahaaaa
Wanawakilisha familia zaoHivi hawa wapitisha budget huwa wanamwakilisha nani?
Ndugu yangu, hizi lugha zenu za' tutawapa nani', kumbe watz huwa 'mnawapa watu uongozi tu, kama zawadi watu wawaongoze.... seriously..... Safari yenu bado ni ndefu.......Ni kweli mkuu lakini tutawapa nan nchi wale wabelgiji? hapana yani hii nchi bora wapewe watu wa medani hao wanasiasa wote high as
Yaani mtu aboronge abaki kuzurula na kushindwa majikumu yake uwalaumu watu wanaitwa SUKUMAGANG. Huyu mama ni failure tokea siku anatoa hotuba yake ya kwanza wenye akili kubwa tulilielewa hilo, umbea tu na kutaka kusifiwa na kila mtu ndo kinachomsumbua na ndo kimepelekea kushindwa kukusanya kodi halali na kuanza kukusanya kodi kwa nguvu .Kwani mama hana maarifa ya kuongoza Cheki hili punguani
Mkuu huku kwenye mbolea ndio shida kuliko maelezo. Bei za mwanzo tu zilikuwa kubwa Ila sasa hivi zimeongezeka mbiliMama kaupiga mwingi mpaka sasa ana anza kutoa boko
Nakuomba tena Mama yangu ufikirie tena hivi vimeo unavyochomekewa, na uwe makini navyo. Mafuta ndio "trigger" ya mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali za muhimu. Na kwenye miamala ya tigopesa/mpesa ndio wengi wa kipato cha kati na chini hufanya miamala yetu, sababu hatuna hela za kuweza kukaa benki.