Rais Samia kweli umedhamiria kukusanya Kodi za dhuluma hadi kwenye mbolea?

Rais Samia kweli umedhamiria kukusanya Kodi za dhuluma hadi kwenye mbolea?

Achana na kodi ya miamala ya simu. Kuna kodi ya pembejeo ambayo kelele zake hazijasikika. Serikali imepandisha kodi ya pembejeo za kilimo ili kukomoa wakulima. Mbolea ya kupandia mazao aina ya DAP imeongezeka bei kutoka 52,000= hadi 92,000/= Mbolea za kukuzia Mf.UREA kutoka 48,000/=na sasa ni 80,000/= na CAN kutoka 40,000-60,000/=...
J K Kikwete akiongoza awamu ya sita.
 
Huko ambako serikali inaheshimu matakwa ya umma, siyo kwa sababu viongozi walikuwa watakatifu bali wananchi walikataa kata kata kuburuzwa.

Huku ambako funguo zote za maisha tumewakabidhi watawala, tuwe tayari kufanya chochote mtawala anachokitaka...
Kumbe angekuwa na akili angeanza kuula mpunga wenyewe ili apate nguvu ya kubeba magunia mengi zaidi.
 
Achana na kodi ya miamala ya simu. Kuna kodi ya pembejeo ambayo kelele zake hazijasikika. Serikali imepandisha kodi ya pembejeo za kilimo ili kukomoa wakulima. Mbolea ya kupandia mazao aina ya DAP imeongezeka bei kutoka 52,000= hadi 92,000/= Mbolea za kukuzia Mf.UREA kutoka 48,000/=na sasa ni 80,000/= na CAN kutoka 40,000-60,000/...
J K Kikwete akiongoza awamu ya sita.

52,000 mpaka 92,000 mbona bei kubwa hivyoo mpaka ata nimeshindwa kuamini.
 
Huko ambako serikali inaheshimu matakwa ya umma, siyo kwa sababu viongozi walikuwa watakatifu bali wananchi walikataa kata kata kuburuzwa.

Huku ambako funguo zote za maisha tumewakabidhi watawala, tuwe tayari kufanya chochote mtawala anachokitaka...
Umenena
 
Achana na kodi ya miamala ya simu. Kuna kodi ya pembejeo ambayo kelele zake hazijasikika. Serikali imepandisha kodi ya pembejeo za kilimo ili kukomoa wakulima. Mbolea ya kupandia mazao aina ya DAP imeongezeka bei kutoka 52,000= hadi 92,000/= Mbolea za kukuzia Mf.UREA kutoka 48,000/=na sasa ni 80,000/= na CAN kutoka 40,000-60,000/=
Lipeni KODI maendeleo na we we yanakuhusuuu.
 
Viongozi wa CCM ni wahuni nimeamini kwa hayo wanayoyafanya ni kama wanaigiza kwenye maisha ya Watanzania,inauma Sana.
 
Haya yote yanayoendelea nadhani tunayaona na hii itoshe kusema CCM hawana nia tena na kuongoza nchi.

Mmeongeza Kodi sawa, ndio iwe mara mbili? Ongezeko la 100% tena kwa kipindi hiki? HAPANA

Mama hii ni Kodi ya dhulma, haikubaliki. Watanzania wengi wamejiajiri kwenye kilimo lakini napo umeamua kuongeza kodi mara mbili kwenye mbolea.

Kweli tutaisoma namba, sasa hivi kila kitu beini mara mbili ukiuliza unaambiwa kodi mpya. Tutakoma.

Wale wakulima wenzangu kazi tunayo

Nilitegemea mama katika jitihada zako za kukuza uchumi basi ungepunguza haya makodi hasahasa kwenye sekta ya kilimo, Ila imekuwa vice versa

Aendelee kupiga hapo hapo panapouma
 
Ingekuwa nchi nyingine Leo kingeshanuka lakini hapa kwetu nakumbuka kuna mwaka kulikuwa na wale watoto ' komando yoso' wanaume walikuwa wanalala uvunguni 😄😄😄
 
Yaani waliokuwa wanasifia saivi limewasimama tena kubwa! Ahahahaha

Maza kaza kamba wameanza kusisimuka ili Saidi kichwa wa Kongo azame ahahah
 
Back
Top Bottom