Rais Samia kweli umedhamiria kukusanya Kodi za dhuluma hadi kwenye mbolea?

Kuna maeneo mbolea ya kupandia (50kg) ni Tsh. 100,000/-, na na mahindi gunia ~ 100 kg) ni 25,00 Tsh.
Yaani gunia 4 zinanunua mfuko 1 wa mbolea.
Nasikia tunakonunua viwanda vimeathiriwa vibaya na Covid
 
Kuna maeneo mbolea ya kupandia (50kg) ni Tsh. 100,000/-, na na mahindi gunia ~ 100 kg) ni 25,00 Tsh.
Yaani gunia 4 zinanunua mfuko 1 wa mbolea.
Nasikia tunakonunua viwanda vimeathiriwa vibaya na Covid
Hai+ hafai+hafai
 
Kila tukiimba hapa kuwa CCM ilishafeli kuongoza hili Taifa hamsikii.Sasa mtaelewa kwa matendo yao.
Ni kweli mkuu lakini tutawapa nan nchi wale wabelgiji? hapana yani hii nchi bora wapewe watu wa medani hao wanasiasa wote high as
 
Kashindwa kupandisha mishahara ambayo haijawahi kupanda kwa miaka sita simply because HALI YA KIUCHUMI NI MBAYA AKACHOMEKEA NA SABABU YA KORONA sasa raia ambao walilalamika na kuomba mshahara uongezwe kidogo wakanyimwa MALIPO YAKE WANAONGEZEWA MAKODI YA KIWENDAWAZIMU as if hiyo korona na uchumi mbaya wao haukuwahusu..
* Inflation ya bei ya bidhaa muhimu kila wakati
..Huo uzalendo si wangeanza wao viongozi kukatwa kodi mishahara, posho na marupurupu yao.. waachane na mavieite watembelee hata harrier na pajero sio kukamua majority ambao mambo tete tayari..
SASA KAMA SIO MIJIKODI YA DHULMA HII NI NINI!?, SELFISHNESS AT ITS BEST
 
Mama kaupiga mwingi mpaka sasa ana anza kutoa boko
Nakuomba tena Mama yangu ufikirie tena hivi vimeo unavyochomekewa, na uwe makini navyo. Mafuta ndio "trigger" ya mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali za muhimu. Na kwenye miamala ya tigopesa/mpesa ndio wengi wa kipato cha kati na chini hufanya miamala yetu, sababu hatuna hela za kuweza kukaa benki.
 
Ni kweli mkuu lakini tutawapa nan nchi wale wabelgiji? hapana yani hii nchi bora wapewe watu wa medani hao wanasiasa wote high as
Watu wa medani ni akina nani?Ni hawa vichaa waliotengeneza nyungu ya kujifukizia pale Muhimbili kisha walipopatwa na Corona wakakimbilia Nairobi Hospital kwenye mitungi ya Oxygen?
 
Hiyo kodi 52,000 hadi 92,000 ni kwa kiasi gani cha mbolea? Umejua hilo? Ni kwa tani moja au tani 10. Maana huyo uliye mquote kaweka bei tu without the fertilizer quantity to be taxed.
 
Tunataka nchi ichukue kodi kutoka kwa matajiri tu. Wao ndo wanyoonywe wanyonge wabembee tu mitaani kimachinga yaani.
 
Ni kweli mkuu lakini tutawapa nan nchi wale wabelgiji? hapana yani hii nchi bora wapewe watu wa medani hao wanasiasa wote high as
Ndugu yangu, hizi lugha zenu za' tutawapa nani', kumbe watz huwa 'mnawapa watu uongozi tu, kama zawadi watu wawaongoze.... seriously..... Safari yenu bado ni ndefu.......
 
Hakuna kodi mpya kwenye mbolea acheni upotoshaji
 
Hebu lipeni kodi kwa kutanguliza maslahi ya taifa kwanza. Mbona hela ya kuhonga hamkosi. Hao maskini ndo wanaongoza kuchezea hela kwenye mambo ya starehe.
 
Kwani mama hana maarifa ya kuongoza Cheki hili punguani
Yaani mtu aboronge abaki kuzurula na kushindwa majikumu yake uwalaumu watu wanaitwa SUKUMAGANG. Huyu mama ni failure tokea siku anatoa hotuba yake ya kwanza wenye akili kubwa tulilielewa hilo, umbea tu na kutaka kusifiwa na kila mtu ndo kinachomsumbua na ndo kimepelekea kushindwa kukusanya kodi halali na kuanza kukusanya kodi kwa nguvu .
 
Mkuu huku kwenye mbolea ndio shida kuliko maelezo. Bei za mwanzo tu zilikuwa kubwa Ila sasa hivi zimeongezeka mbili
Badala ya serikali kuweka ruzuku ili bei ya mbolea ishuke wao wameongeza tozo ili pande maradufu.
Huyu mama hapana aisee
 
Hiyo kodi 52,000 hadi 92,000 ni kwa kiasi gani cha mbolea? Umejua hilo? Ni kwa tani moja au tani 10. Maana huyo uliye mquote kaweka bei tu without the fertilizer quantity to be taxed.
Hiyo Bei ni kwa mfuko mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…