Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?

Source: Raila Odinga na BBC.
Si maji tu alikuwa anawananga majirani......!!!
 
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?

Source: Raila Odinga na BBC.
Wewe kama nani kwenye "protocol" na usalama wa Rais hata ujulishwe safari zake zote?
.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ww kila unakokwenda unawaaga watoto wako?

Wabongo mnapenda kujipa haki ambazo wala sio zenu
 
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?

Source: Raila Odinga na BBC.
=kujulishwa =kusuluhisha.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Your browser is not able to display this video.
 
Labda deep state ya kwenye PlayStation, Samia ni Rais mpaka 2030 hutaki chimba shimo ujifukie.
 
Mbona taarifa hii inashangaza?

Hivi karibuni aliwatupia vijembe hao hao Kenya kuhusu uwekezaji mwingi unaokuja Tanzania kwa vile Kenya kuna moto!

Utasuluhisha vipi watu unaowapiga vijembe?
Huenda ndiyo maana Ruto kamdharau.
 
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?

Source: Raila Odinga na BBC.
Alikuwa ana tafuta umaarufu aonekane amepatanisha watu mwishowe kaumbuka😂😂😂😂😂🤣
 
Ebu andika hiyo kauli ya kinana
 
Mmmh ccm hi hi ione haya never watamuweka yoyote
 
mtapata sonona maana kila kitu afanyacho rais mnapinga. mnatia huruma maskini
 
Tofautisha R na L ni wapi zinatumika.

Samahani kama nitakukwaza.
Ni ngumu sana.

Ungewasaidia wengi hapa kama kuna mwongozo wowote unaoelekeza matumizi ya hizo herufi kwa usahihi.
Vinginevyo, ni kuchukulia maana aliyolenga kuiwasilisha mleta hoja.

Sikatai, matumizi sahihi ya lugha ni muhimu, lakini kwenye kumbi kama hizi usitegemee kuliona hilo likitokea.
 
Wewe kama nani kwenye "protocol" na usalama wa Rais hata ujulishwe safari zake zote?
.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2] huwa hii ndio kauli mbiu yako " eti shule tumekwenda kusomea ujinga " wee kizee una dharau mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…