Kichwa hakionekani, kuna nini hapo?Ameuawa na nani
Kichwa hakionekani, kuna nini hapo?
Labda ni kufuatilia suala la urithi wa mali za marehemu Bonge.SAMIA KUHANI MSIBA WA CHIVAYO KESHO?
Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ameandika katika ukurasa wake wa Facebook akidai kuwa vyanzo vyake vya taarifa vinasema kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu anatarajia kuruka kesho kwenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wickenell Chivayo aliyeuawa katika ajali ya Helikopta wiki iliyopita.
Wickenell Chivayo alisafiri kutoka Zimbabwe hadi Zanzibar kumpa pole Rais Samia kufuatia kifo cha mume wake.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 5 Oktoba 2026; Sas 5:45 usiku
Kwa maoni yangu, Askofu anajidhalilisha tuu kwa taarifa hizi za kuokoteza!.SAMIA KUHANI MSIBA WA CHIVAYO KESHO?
Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ameandika katika ukurasa wake wa Facebook akidai kuwa vyanzo vyake vya taarifa vinasema kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu anatarajia kuruka kesho kwenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wickenell Chivayo aliyeuawa katika ajali ya Helikopta wiki iliyopita.
Wickenell Chivayo alisafiri kutoka Zimbabwe hadi Zanzibar kumpa pole Rais Samia kufuatia kifo cha mume wake.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 5 Oktoba 2026; Sas 5:45 usiku
Zamani hapa JF habari kama hizi,watu kwanza walikua wanauliza reliable source ya habari husika kabla ya kuanza kuchangia mada,Kwa maoni yangu, Askofu anajidhalilisha tuu kwa taarifa hizi za kuokoteza!.
Vitu vingine, ukimya nao ni jibu!.
P.