Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

Huyo jamaa amekufa na hela za watu wengi sana, sijui wataanzia wapi kuzipata
Jumba lake lilitekwa na jeshi na hakuna MTU anaingia wala kutoka. Kuna mabilioni ya dola humo hata msiba wake haukuwekwa kwenye Hilo hekalu lake.
 
nadhani kuhani msiba wa mja yeyote yule wa Allah ni jambo la kawaida.

sioni changamoto,
na sifahamu shida ya Askofu wa chadema church ni nini hasa hata aone mtu kwenda kuhani ikawa jambo la kushangaza kwake 🐒
😂😂😂
 
Hivi huyu ni Askofu wa dhehebu gani? Kuna jamaa mmoja alikuwa kwenye madini au soka, alikuwa anaitwa Askofu.

Kama uaskofu wake kama wa hawa Mababa Askofu tunaowajua, basi kuna shida mahali.

Shida kubwa ipo upande wako kwa sababu umekosa uwezo wa tafakari. Wenye akili kubwa kupitia hilo andiko la Askofu wameupata ujumbe muhimu:

" Mtawala anawapenda na kuwathamini zaidi watu wa nje ya nchi kuliko Watanganyika. Hapa nchini, pamoja na ukweli kuwa ni mshirika mkuu wa mauaji, hajawahi hata siku moja angalao hata kutoa kauli ya pole kwa watanganyika ambao wanafamilia wao waliuawa kama wanyama!! Unamkumbuka shekhe majini aliyekuwa miongoni mwa wapigadebe wake wakuu? Unafahamu kuwa yale maharamia toka Zenji yalimtwanga risasi wakati akitoka msikitini? Uliwahi kumsikia mtawala haramu akitoa pole kwa wanafamilia? Hii ina maana watanganyika hawana thamani kwa mtawala, ila wa nje ndiyo binadamu!
 
nadhani kuhani msiba wa mja yeyote yule wa Allah ni jambo la kawaida.

sioni changamoto,
na sifahamu shida ya Askofu wa chadema church ni nini hasa hata aone mtu kwenda kuhani ikawa jambo la kushangaza kwake 🐒
Kwa nn useme chadema,Kuna askofu wa chadema?
 
Zamani hapa JF habari kama hizi,watu kwanza walikua wanauliza reliable source ya habari husika kabla ya kuanza kuchangia mada,

Siku hizi mtu akiona tu kua hiyo habari inamfurahisha,anaanza kuchangia na matusi juu bila hata kua na uhakika kama habari hiyo ni ya kweli au sio ya kweli.
Ni kweli ,watu wanajali matumbo Yao hasa huyu mayala kawa chawa anaewasha Kila kona
 
Back
Top Bottom