Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa

Kibaibo amekua msanii, speculative and a politician….
 
Kama jambo la kawaida umewahi kumuona Samia akija kwenye msiba wa mjomba wako hata mmoja.
In fact,
aje au asije bado kwenda kuhani mja yeyote yule wa Allah linabaki kua ni jambo la kawaida sana tu,

na kabisa haliwezi kumshangaza yeyote unless wafuata mkumbo wanataka kutumia msiba wa mja wa Allah na waombolezaji kutafuta attention na kuatract public sympathy kwa wafuata mkumbo wenzako, kitu ambacho ni useless na completely nonsense 🐒
 
Huyo jamaa amekufa na hela za watu wengi sana, sijui wataanzia wapi kuzipata
Mkuu kuna Uzi humu kuhusu hii taarifa Yako.

Inasemekana nyumba yake imewekewa ulinzi mkali sana, pia hata kuzikwa msiba uliwekwa nyumbani kwa Aunt yake. Hizi ni taarifa kutoka kwa muandishi wa habari wa nyumbani kwao

Nakubaliana nawewe inawezekana jamaa alishika mabunda ya watu wengi, inawezekana jamaa alibeba Siri za watu wengi, inawezekana pia alikua na docs muhimu za nchi nyingi. Ukizingatia jamaa alikua na route za Ikulu to Ikulu.
 
Huyo jamaa amekufa na hela za watu wengi sana, sijui wataanzia wapi kuzipata

si wataanza upya tu, hakuna shida hapo hazina yote ni shamba la bibi wameweka watu wao, hivyo hiyo siyo ishu kubwa kabisa, ishu ni kumpata criminal mwingine ambaye atachukua hiyo nafasi siyo rahisi pia ku-groom mtu kama yule, wamerudi square one hapo ndipo tatizo lilipo na siyo fedha kwani hawa mafia criminals wa afrika fedha siyo ishu wanachohta tu hazina kodi za wananchi, jiulize mkataba wa 30 million usd alioingia makamba na kampuni ya india tata kwa ajili ya tanesco uliishia wapi? na huo ni mfano tu bado msomali alizofisadi kilimo, hivyo fedha siyo ishu kabisa ...
 
Kwa maoni yangu, Askofu anajidhalilisha tuu kwa taarifa hizi za kuokoteza!.
Vitu vingine, ukimya nao ni jibu!.
P.
Wewe ni mwandishi mzuri wa habari Mzee mayalla!! Kwa hiyo hapo huoni askofi katumia kiulizo Yani alama hii ? Sasa hapo anajidhalilisha nini kutoa taarifa kwa umma kwenye njia ya kuuliza.

Rejea lile sakata lako uliloandika kwenye moja ya gazeti wakakudaka ukaenda kujitetea kuwa ulifanya kuuliza na sio taarifa
 
lazima aende akahakikiseh kama matrilioni yake ndio yameenda!
 
 
Kama jambo la kawaida umewahi kumuona Samia akija kwenye msiba wa mjomba wako hata mmoja.
In fact,
aje au asije bado kwenda kuhani mja yeyote yule wa Allah linabaki kua ni jambo la kawaida sana tu,

na kabisa haliwezi kumshangaza yeyote unless wafuata mkumbo wanataka kutumia msiba wa mja wa Allah na waombolezaji kutafuta attention na kuatract public sympathy kwa wafuata mkumbo wenzako, kitu ambacho ni useless na completely nonsense 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…