Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Agosti, 2024.
Uapisho huu unahusisha Mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mawanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali. Jaji wa Mahakama ya Rufani, katibu Tawala wa Mikoa na Naibu Makatibu Wakuu wateule.