kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeweka mikakati ili kukuza sekta ya michezo nchini. Serikali inaamini kuwa michezo ni Ajira kwa vijana wengi. Mikakati ya Rais Samia ni:
- Kukarabati Viwanja 7 kwa gharama ya Tsh Bilioni 10
- Kuratibu na Kusimamia UMITASHUMTA na UMISETA
- Kuratibu Usimamizi wa Shule 56 maalum za Michezo ikiwemo uwepo wa miundombinu na vifaa.
- Kusimamia uendeshaji wa michezo ya kipaumbele (Soka, Netiboli, Kikapu, Wavu na Riadha)
- Ushirikishwaji wa watu wenye mahitaji maalum katika michezo.