#COVID19 Rais Samia: Lengo ni wananchi wote wachanjwe

#COVID19 Rais Samia: Lengo ni wananchi wote wachanjwe

Naked truth tujiandae ndugu zangu kubanwa kwenye kupata huduma
Hakika na hapo ndo watu watachoma pasi kupenda.

Huwa nawaza tu mfano pale TRA ndo waseme labda hamna huduma utapata pasi kuwa na kadi ya kuonyesha umechanja unadhania ni wangapi itabidi wafanye hivyo. 🤔
 
Hakika na hapo ndo watu watachoma pasi kupenda.

Huwa nawaza tu mfano pale TRA ndo waseme labda hamna huduma utapata pasi kuwa na kadi ya kuonyesha umechanja unadhania ni wangapi itabidi wafanye hivyo. [emoji848]
Ukwepaji kodi utaongezeka!

Nje ya mada: huwa na husudu sana michango yako humu.

Naweka wazi tena natamani siku itokee nikuone mama.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Chanjo zimekuja million moja waliochanjwa Ni laki 2..foleni zimekata. Hizo mill 17walizoagiza lazima itakuwa lazima kuchanja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukwepaji kodi utaongezeka!

Nje ya mada: huwa na husudu sana michango yako humu.

Naweka wazi tena natamani siku itokee nikuone mama.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Hakika japo kuna wengine ndo watakuwa hawana jinsi mfano madereva kwenda kurenew leseni.

Shukrani Mkuu. 🙏🙏

Tuombe uzima wani deyi yesi. 😀
 
Chanjo zimekuja million moja waliochanjwa Ni laki 2..foleni zimekata. Hizo mill 17walizoagiza lazima itakuwa lazima kuchanja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Cheza na mtu yyote usicheze na serikali ina mkono mkubwa ikitaka jambo lake liwe basi litakuwa kwa hiari au kwa nguvu mulikuwa hamjachanja munaweza kufanyiwa mkakati mkubwa wa kusitisha miamala yyote na kusafiri ndio kabisa usiweze kwenda ppote .
 
Baadhi ya watu niliokutana nao ambao wanaipinga chanjo sio kwamba hawataki chanjo bali sintofahamu zinazoambatana na hiyo chanjo ndiyo shida. Mbona chanjo nyingine watu wanachomwa bila mijadala tena wanaenda wenyewe tu. Serikali inabidi ijikite zaidi kwenye kuelimisha watu faida na madhara kama yapo ya hiyo chanjo tena elimu yenyewe itolewe kwa kina na mwisho watu wataenda wenyewe kuchanjwa bila hata msukumo wowote.

Kuna mambo yanayohitaji ufafanuzi wa kina kwa mfano:-
1. Kwa nini waliochanjwa Marekani chanjo ya J & J ambayo ndio chanjo iliyoletwa Tanzanaia wameanza kuchanjwa tena "booster" baada ya kuonekana chanjo hiyo inashuka nguvu mwilini baada ya miezi 6.
2. Kwa nini mtu aliyechanjwa bado ana uwezo wa kuambukiza au kuambukizwa.
3. Ni kwanini mtu aendelee kuvaa barakoa hata baada ya kuchanjwa.
4. Ni kwanini chanjo nyingine zote mtu haihitajiki kujaza fomu lakini ya COVID 19 lazima mtu ajaze fomu kama anayeenda kufanyiwa operesheni.
5. Ni kwanini watu wale wale waliokuwa wanaipinga hiyo chanjo miezi mitatu 3 tu iliyopita ndio hao hao tena wanaongoza kuipigia debe sasa tena bila ya hata kutoa ufafanuzi juu ya mabadiliko yao hayo ya ghafla.
6. Ni kwanini chanjo ya COVID 19 imechukua muda mfupi kutengenezwa na kuruhusiwa tofauti na chanjo nyingine ambazo huchukua takribani miaka 10 kutengenezwa na kuruhusiwa kutumika.

Nina hakika kabisa serikali ingejikita kwa kina kutoa elimu na kutanzua hizo sintofahamu hapo juu na nyinginezo basi watu wengi wangechangamkia hiyo chanjo na wala kusingekuwa na mjadala mkubwa na baadhi ya watu kuipinga.
 
Alama ya mnyama 666 inalazimishwa mkuu, siyo hiari.....
 
Back
Top Bottom