Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Nchimbi hakuwepo kwenye uapisho imetia doa na mashaka ila kwa maana ya propoganda sawa
 
Duuh kumbe akizungumza kisichoandikwa kwenye karatasi anaharibu aisee...
 
Ni bora kujamba kwa matako kuliko kujamba kwa kutumia ubongo. Kwani hakuna sehemu ya kutokea harufu
 
Nyerere alikuwa mtu moja mnafiki sana kwani mara baada ya hii katiba kupitishwa mwaka 1977 alikiri kwa kinywa chake kwamba ilikuwa ni katiba mbaya kabisa.

Lakini kwa unafiki wake akaiacha itumike tu na leo hii kila rais anaitumia kukandamiza wananchi kama apendavyo.

Hii katiba huko tuendako itakuja kuleta maafa makubwa katika nchi hii watu hawataamini kwani itakuja kufanya rais Mzanzibari akitoka madarakani anaingia tena Mzanzibari mwingine aishiye Tanganyika na makamu wake tena anakuwa ni Mzanzibari na waziri mkuu pia anakuwa ni Mzanzibari anayeishi Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…