Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gavana wa BoT na Waziri wa fedha wanafanya kazi gani??
Swali zuri sana, umeonyesha una uwezo mkubwa sana wakufi
Unadhani uchumi wa nchi hushughulikiwa na watumishi wa wizara ya fedha pekee!?..nchi ina mambo mengi nduguMchechu na Mafuru ni watu chini ya Gavana?
Marekani wameshusha interest rate juzi, that's why.
Sio akili za mafuru au mchechu.
Kwani Mafuru alikuwa baba yako?Kwenye msiba wa babaako?
Sio lazima kucheka pia.Sio lazima kulia msibani,
Ungekaa kimya ingesaidia kutoongeza watu wengine wa kuujua upumbavu wako.Gavana wa BoT na Waziri wa fedha wanafanya kazi gani??
Kauliza swali tu....Ungekaa kimya ingesaidia kutoongeza watu wengine wa kuujua upumbavu wako.
Acha kutetea ujingaKauliza swali tu....
Udhibiti wa fedha za kigeni (juu ya viwango vya kubadilisha fedha, ujazo) ni moja ya majukumu ya msingi ya Benki Kuu.Kifo cha Mafuru kimeibua mambo mengi kwa kweli kwenye eneo la uchumi.
Huyu Mzee alifanya yake kwenye kipindi cha changamoto wa upatikanaji wa dola. Pumzika kwa amani
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza namna, Lawrence Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani hatua ambayo imechochea nchi kujiimarisha.
Amesema wakati wa changamoto hiyo, Mafuru alikuwa miongoni wa wajumbe wa kamati wa kushughulikia changamoto ya Dola na aliifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.
“Tulipopata changamoto ya Dola niliunda kamati ya kushughulikia suala hilo, kamati iliongozwa na Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu akisaidiwa na wengine akiwemo Mafuru.
“Nakumbuka siku ya kutoa wasilisho lao, Mafuru aliniambia tukiufuata huo mkakati tutaondokana kabisa na hiyo changamoto ya dola na hicho ndicho kilichotokea,” amesema Rais Samia.
Soma Pia:
Kando na hilo, pia Rais Samia amegusia namna Mafuru alivyokuwa akitoa ushauri katika mambo mbalimbali ambayo yaliisaidia nchi kujikwamua.
- Rais Samia atoa pole ya kifo Lawrence Nyasebwa Mafuru
- TANZIA - Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia
Rais Samia amebainisha hayo leo Alhamisi Novemba 14, 2024 alipoongoza viongozi mbalimbali kuaga mwili wa Lawrence Mafuru, aliyefariki Novemba 9, 2024 nchini India, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Unatesekaje Mkuu?..changamoto nini?Mi mbona bado nateseka kupata Dollar
Wanafanya kazi za kiseraGavana wa BoT na Waziri wa fedha wanafanya kazi gani??
Tume ya mipango inaweza kumtumia mtanzania yoyote yule ili kufanikisha mipango ya Nchi!!Mchechu na Mafuru ni watu chini ya Gavana?