Rais Samia: Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani

Kweli alinusuru nchi kwa kuisaidia chama cha majambawazi kupiga dola kwa ajili ya uchakachuaji ujao.
 
Udhibiti wa fedha za kigeni (juu ya viwango vya kubadilisha fedha, ujazo) ni moja ya majukumu ya msingi ya Benki Kuu.

Napata ukakasi kuelewa hiyo kamati ya Mafuru iliathiri vipi miongozo ya kisera inayotolewa na Benki Kuu...

Na je, Bi Mkubwa ana imani ya kutosha juu ya ufanisi wa Benki Kuu????..
 
Aache upumbavu na kuleta propaganda mfu huyu mama kibwetele ,hii nchi export ni kidogo ,tuna import sana ,
Kupatikana Kwa dollar na Kwa rate ndogo ni suala linalotegemea riba zinazopangwa na US federal reserve au benki kuu ya Marekani na si utashi wa mbumbumbu flani kutoka shithole country hii
Juzi hapa federal reserve ya Marekani wametoa report ya kushusha interest rate ,hivyo mabenki na taasisi za kifedha nyingine yanakuwa incentivised kusambaza mitaji interms of us dollars kwenye mzunguko wa uchumi duniani na vice versa

Hizi elimu za kata za kudumaza akili za watu ,na majitu hayafikiri ,yapo tu kupiga mapambio kwa propaganda mfu bila kutumia akili kutafakari mambo

Dollar imehadimika Kwa zaidi ya mwaka sasa ,na kuna kipindi mabenki walikuwa wanauza dollar 100 Tu Kwa mtu kwa siku ,sasa unaweza pata picha hapo , black market huko ndio ilikuwa si chini ya 2900-3000

Hivi vitu mbona ni easy sana kugrasp hata ambao tumesoma vitu tofauti na uchumi tunagrasp hizi concepts ? , sasa hawa vilaza na hizo kamati uchwara za huyo mama walikuwa wanajadili na kupiga mahesabu gani hayo ya kusababisha upatikanaji wa dollar ,wakati kila taahira mtaani anajua kuwa dollar ilikuwa kizungumkuti hata sasa hivi hali haijawa fully stable kwenye exchanges za sarafu yetu vs dollar au ndio kamati mshenzi za kutafuna pesa za umma kwa kulipana posho na mishahara minono kipuuzi tu ?
 
Effective measure ya kupambana na hili suala la instability katika exchange na kushuka sana kwa thamani ya fedha yetu + foreign reserve kama dollar kuadimika ni kudevelop industries mbalimbali ambazo zinazalisha products na huduma kwa ubora na kwa bei shindani na kuziuza kimataifa na si vinginevyo ,huu upuuzi wa kukaa na kutengeneza kamati za kipuuzi mbaya zaidi kwa watu wale wale na mawazo yale yale ni rubbish Tu
 
Ukiangalia trend kila mara federal reserve wanabadilisha hizi interest rates ,sasa hizi kamati za kukaa na kujadili upuuzi sijui huyu Maza na mabumunda wake humo kwenye cabinet watakuwa wanatengeneza hizi kamati kila federal reserve wakibadili interest rate na uhaba kuwa mkubwa na rate kupaa na kutokuwa stahimilivu ?
Hapa ndio unapata picha ya udumavu akili na kukosa common sense kwa hawa tunaowaita policy makers ,visionaries na viongozi humu nchini .

Maana hata huu mwaka hauishi ,nina hakika feds watapandishwa tena rate na tutarudi kule kule ,maana wanapambana na jini linaloitwa inflation humo kwao Marekani kwa miaka miwili sasa na trend imekuwa hii huu kutokana na stimulus packages za kipindi cha covid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…