ais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo.

Hapo dakika ya 28:40 hivi kule mlango wa kioo kuna mtu kama mzungu amechungulia na kujificha ana agenda hani kwa huo mkutano?
 
Kwani posta hawatumii bidhaa za ttcl, kama wanatumia surely jamaa hapaswi kuwa kiongozi mkuu
wa posta
 
Jami
Jamani tuseme ukweli mwanamke huyo hapana. Ninaungana na Seluiman nabii wa Mungu.

Unamteua mtu humjui ndani nje ,kisha inawatangazia watanzania usivyo makini! Ungekuwa makeni waliokuletea huyo ya mbeya leo hii ungewaondoa kwenye nafasi zao.
Umedanganywa kuhusu mkataba wa bandari, jua halijakuchwa umedanganywa tena !
 
Daaah ungekua unaweza kusoma hizo DATA zinazo letwa kwako KIZIMKAZI.Yoote haya yasingekua yanatokea tokea ovyo. Mm kwa umri huu najua huyu ndio president wakwanza kuteua n kutengua bila mafanikio na kujua anacho taka.
 
Sababu ya uhamisho wake kupelekwa kuwa POSTAMASTA.

Hakika Rais SSH anaendelea kuiongoza serikali yetu adhimu kwa kufuata sheria ,utaratibu na kanuni kinyume na "migogoro ya kimaslahi".

Mwenyezi Mungu ututunzie Samia wetu aaaamin [emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Hilo bwanga la mama ndio limetia fora hapo, duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…