johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama hii ya Chebukati iliyopasuka katikati kama msamba?..tuanze na tume huru.
..migogoro ikitokea tuitatue, na tuiboreshe zaidi tume yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hii ya Chebukati iliyopasuka katikati kama msamba?..tuanze na tume huru.
..migogoro ikitokea tuitatue, na tuiboreshe zaidi tume yetu.
Kama hii ya Chebukati iliyopasuka katikati kama msamba?
Akiunda ndio itakuwa Huru?..tuunde tume bora zaidi ya tume za Mahera na Chebukati.
IPO haja ya MAHELA aitishe PRESS aeleze umma kipi alichoambulia ktk Uchaguzi Ule🙃🙃🙃Akiunda ndio itakuwa Huru?
Akiunda ndio itakuwa Huru?
Watanzania wataiunda kupitia chombo gani?..Sema Watz tukiunda...
..Tunapaswa kushirikiana ktk kuunda tume huru ya uchaguzi.
..Tume iwe bora kuliko tume za Mahera na Chebukati.
Watanzania wataiunda kupitia chombo gani?
Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe?
Maridhiano ya Chadema na Serikali?
Au Bunge?
Uteuzi wa mwenyekiti na makamishina utafanywa na nani?..kupitia michango na mawazo na ushauri wa vyombo vyote ulivyovitaja.