Rais Samia: Majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru', hawana migogoro? Auliza nini kinafatwa kwenye tume huru

..Sema Watz tukiunda...

..Tunapaswa kushirikiana ktk kuunda tume huru ya uchaguzi.

..Tume iwe bora kuliko tume za Mahera na Chebukati.
Watanzania wataiunda kupitia chombo gani?

Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe?

Maridhiano ya Chadema na Serikali?

Au Bunge?
 
Watanzania wataiunda kupitia chombo gani?

Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe?

Maridhiano ya Chadema na Serikali?

Au Bunge?

..kupitia michango na mawazo na ushauri wa vyombo vyote ulivyovitaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…