Rais Samia maoni ni Haki yake bali Maamuzi na Utekelezaji

Rais Samia maoni ni Haki yake bali Maamuzi na Utekelezaji

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Niwasalimu kwa jina la JMT.

Kama binadamu na kama rais, Mama Samia ana haki zake za msingi zikiwamo za kuwa na maoni na mawazo yake.

Mtu halaumiwi wala kushutumiwa kwa maoni au mawazo yake bali kwa maamuzi na matendo.

Mama anaona kuwa katiba mpya si kipaumbele chetu. Tupo tunaodhani katiba mpya ndiyo kilicho kipaumbele.

Maoni ya upande mmoja hayawezi kuwa ndiyo final bila ya makubaliano.

Hii nchi ni yetu sote tushawishiane kwa hoja. Tukubaliane mwelekeo wa kuchukua.

Maoni ya yeyote hayawezi kuwa msahafu.

Tumuunge mkono mama Samia katika kulijenga taifa hili pamoja. Kwa pamoja tunaweza.

Ninawasilisha.
 
Back
Top Bottom