Rais Samia: Mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya mitandao ya simu, Serikali ya Uingereza nayo ikaanzisha

Rais Samia: Mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya mitandao ya simu, Serikali ya Uingereza nayo ikaanzisha

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii.

Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi kuiga.
 
Kwa hiyo mnamaanisha wingereza wanatuiga[emoji16][emoji16][emoji16], yaani tuna strategies kaki sana mpaka wingereza wanaiga
 
Kuna muda niliwahi kujiuliza kwanini kule Myanmar wanajeshi walimpindua mwana mama Aung San Suu Kyi?. Kumbe Kuna wanawake wakipewa madaraka wanakuwa Vimeo.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Anajisifu kwa Kodi za dhuluma nchi hiii?

Leo hii mawakala zaidi ya laki 3 nchini kamisheni zao zimeathirika na tozo hizi wamepoteza wateja na miamala iliyokuwa ikifanyika kila siku.
 
Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii.

Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi kuiga.
Naye aseme baada ya Uingereza kuendesha siass za uwazi bila kulindwa na polisi, sisi nao tutatumia siasa za uwazi bila CCM kulindwa na polisi.
 
Mama tunakupenda sana lakini jinsi siku zinavyozidi kwenda unatupiga fiksi na saundi za hatarii sana. Hata iyo 520 billion uliyotoa Arusha kwa ajili ya maji ni Saundi tuu na fiksi.
Yeye ndio alitoa kauli ya milioni 50 kila Kijiji wakati haikuwepo kwenye ilani na haikuwahi kutekelezwa
 
Taxes aiming at draining the taxpayers are useless, business environment in Tanzania has never been inductive
 
Back
Top Bottom