The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna muda niliwahi kujiuliza kwanini kule Myanmar wanajeshi walimpindua mwana mama Aung San Suu Kyi?. Kumbe Kuna wanawake wakipewa madaraka wanakuwa Vimeo.
Anaupiga mwingi. Au siyo πππHuyu mama vile anapanda midege kila siku ameshaanza kumfananisha m Tanzania na mwingereza.
Sawa tu Mungu anawaona
Mama tunakupenda sana lakini jinsi siku zinavyozidi kwenda unatupiga fiksi na saundi za hatarii sana. Hata iyo 520 billion uliyotoa Arusha kwa ajili ya maji ni Saundi tuu na fiksi.Huyu mama vile anapanda midege kila siku ameshaanza kumfananisha m Tanzania na mwingereza.
Sawa tu Mungu anawaona
Naye aseme baada ya Uingereza kuendesha siass za uwazi bila kulindwa na polisi, sisi nao tutatumia siasa za uwazi bila CCM kulindwa na polisi.Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii.
Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi kuiga.
Yeye ndio alitoa kauli ya milioni 50 kila Kijiji wakati haikuwepo kwenye ilani na haikuwahi kutekelezwaMama tunakupenda sana lakini jinsi siku zinavyozidi kwenda unatupiga fiksi na saundi za hatarii sana. Hata iyo 520 billion uliyotoa Arusha kwa ajili ya maji ni Saundi tuu na fiksi.