tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Alisikika mlevi mmoja toka unguja,Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii.
Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi kuiga.
Chezea kulala jumba jeupe na kula bure,kanenepa mpka kutembea imekua tabuHuyu mama vile anapanda midege kila siku ameshaanza kumfananisha m Tanzania na mwingereza.
Sawa tu Mungu anawaona
Haya nimekusikiaMama tunakupenda sana lakini jinsi siku zinavyozidi kwenda unatupiga fiksi na saundi za hatarii sana. Hata iyo 520 billion uliyotoa Arusha kwa ajili ya maji ni Saundi tuu na fiksi.
Utajivuna jirani kuiga ujinga?Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii.
Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi kuiga.
HAupigi mwingi tena?aibu gani hii jamani
uzwazwa ndiyo mwingi.HAupigi mwingi tena?
Uongo Mtupu, mimi niko hapa Uingereza na natuma fedha hata leo kwenda huko nyumbani, na hiyo kodi siioni...natumia App inayoitwa sendwave na hakuna kitu kama hicho cha kodi... ne free tu... mobile to mobile...Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii.
Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi kuiga.
Tulia wewe mama akutawale....Kuna muda niliwahi kujiuliza kwanini kule Myanmar wanajeshi walimpindua mwana mama Aung San Suu Kyi?. Kumbe Kuna wanawake wakipewa madaraka wanakuwa Vimeo.
Doooh!context is important...alikua anaongea kiutani au?kama Sio kiutani basi kuna lack of neurons
pole sana ndug waqala.je ulitaka maendeloo yachangiwe na watumish tu kodi wakatwe wao tu ila wewe usiguzwe? tozo ni kila mtu anachangia taifaAnajisifu kwa Kodi za dhuluma nchi hiii?
Leo hii mawakala zaidi ya laki 3 nchini kamisheni zao zimeathirika na tozo hizi wamepoteza wateja na miamala iliyokuwa ikifanyika kila siku.