Rais Samia: Mbaazi sasa siyo mboga ni zao la biashara

Hapo alichokosea nini?
 
Huenda taarifa yako ikawa na source ya kuendeshwa
 
Sasa hapo si amewashauri walime kwa wingi kwa ajili ya kuuza na hela wanayopata itawasaidia katika maendeleo mengine kama kujenga nyumba nzuri za kuishi, kusomesha watoto. Au wewe umeelewa vipi hapo?
 
Tatizo lenu mnashindwa kuelewa mambo rahisi.... Hapo anachomaanisha ni kwamba waache kulima kwa kiasi kidogo (subsistence farming) na kutumia kama mboga pekee ila wa-advance na kuanza kulima in large scale (commercial farming) ili waweze kuuza pia.
 
Bro una mtindio wa akili?.

Aliposema sio mboga pekee, hii inaashiria kuqa anatambua kuwa ni mboga ljn pia ni zao la biashara.
Nchi ya malalamiko
Si kila anayeongea kiswahili ana uwezo wa kukielewa.
 
Hapo alichokosea nini?
Mimi mwenyewe nashangaa watu wanavyolalamika juu ya kauli ya mama. Kwamba ni kosa kuwahimiza watu walime mbaazi kwa wingi? Kwamba kwa sasa mbaazi sio mboga tu kama enzi za jiwe? Kwamba kwa sasa mbaazi pia ni zao la kibiashara??? Mbona jf siku hizi ina watu wa hovyo sana?

Yaani kila kitu ni kulaumu na kulalamika tu. Kwa hali hii watu watakuwa masikini mpaka mwisho wa dunia kama mnajifanya kujua kuchambua kila kitu hata chenye heri.
 
Kwani kosa lake liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…