field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Hakujificha, kila mtanzania ana haki ya kwenda anapotaka kwenda, kama angejificha angerudi kufanya nini wewe muuza mandaazi?Mahojiano na Salim Kikeke. Inaonekana Rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu.
Anyway Leo ndo nimemjua Rais tulienae...
Samia hajui anachoongea na huyo Kikeke ameshindwa kumuuliza maswali magumu....... Sijaona rais wa ovyo kama Samia, huyo Magufuli ana unafuuDuuu makubwa yeye siku zile alisema alikuwa dubai kibiashara ,,,kumbe alikuwa kenya nairobi ....kenya na TZ ni ndugu unajifichaje kenya
Kama ni hivi basi system ina vuja sana maana alijua kesi imekamilika ndio maana akarudi.
Je alijuaje kama upelelezi umekamilika?
Kwa hiyo maza ndio kila mtu sio?..Maza kadai alimuona Nairobi amejificha.
Rais ni mmoja tuKwa hiyo maza ndio kila mtu sio?
Lakini ufipa hawataki kuelewa hilo.Rais ni mmoja tu
Kuwa mtoto wa kike hakukupi uhalali wa kusema ujingaYawezekana Mbowe asiwe gaidi, ila kwamba kila kitu hawezi kufanya.
Wewe ni bodyguard wa Mbowe kwamba kula sehemu unakuwa nae? Au labda wewe ni mke wake kwamba lazima akuage kila anapokwenda?
System za usalama za Kenya naza hapa Tz zilithibitisha hilo, tuletee data zako zinazoonyesha kuwa huo ni uongo. Yaani Rais atasingizia kwa kutaja jina la nchi nyingine kizembe tu etieee[emoji23].
Kautoa nje mkuuMama haupigi mwingi tena?nawauliza nyie bavicha
[emoji23][emoji23]
Dogo hii platform huru kwa kila mtu kumenti sehemu yeyote,ukitaka kuwa selective na mtu fulani akomenti kwenye post yako nenda PM ukachat na mumeo.Naona unalazimisha mknd wako utafune muwa na sio kazi uliombiwa, kazana.
Nimekwambia Sitaki mjadala na wewe ila naona unaforce na kujikuta muongeaji,twende kama unavyotaka Sasa.
Lini ulikuwa humwelew ndugu wahed?Mama nineanza kumuelewa tena kwa kiasi fulani