masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Taratibu mkuu, hebu tuelezeMmesononeshwa na nani?
Kijana ana kiburi hajui kuwa Kuna wakubwa kwake,mnyakyusa wa hovyo kabisa huyo! Ajipange vizuri safari hii hatoboi
Kwanza katengeneza maadui wengi kisiasa ,unategemea Nini?
Technical know who brother, ina nguvu zaidi.Kwani kuleta maendeleo jimboni kwenu mpaka awe waziri?,as long as bado yupo bungeni basi akaendelee kuwasemea vyema hukohuko
Mbunge wenu na sisi Mbunge wetu na wale Mbunge wao wote Wana sifa ya Uwaziri au Tufanye wabunge wote wawe mawaziriNimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!
Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.
Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.
Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.
Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.
Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Ni Kipochi manyoya. Si unajua tena wanyakyusa hao kila saa wanawaza chini tu.Mbune ni nani?
🤣🤣🤣🤣Ni Kipochi manyoya. Si unajua tena wanyakyusa hao kila saa wanawaza chini tu.
Kwani amepokonywa na Ubunge?Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!
Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.
Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.
Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.
Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.
Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Hizi I'd fake hovyo kabisa, wewe siyo wa kwanza kutemwa uwaziri, komaa na ubunge maana ndo uliogombea na ukatoa ahadi ya kuwaletea wananchi maendeleo.Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!
Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.
Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.
Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.
Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.
Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Hamdhani kuwa sasa atapata muda mwingi sana wa kushughulikia matatizo ya Rungwe badala ya yeye kuwa Dodoma, au hamumpendi.Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!
Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.
Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.
Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.
Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.
Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Kwani amevuliwa ubunge?Taratibu mkuu, hebu tueleze
-kamdharau nani mkubwa wake,
-katengeneza maadui kstika kitu gani?
Kwetu wananchi wake mbona yuko humble na hana majivuni.
Weka mambo wazi, isije ikawa majungu yenu ndiyo mmemfikishia mama Samia.
Akipata, rahisi kupekeka matatizo ya wananchi kule kunakohusika kirahisi zaidi.Duh mnampigania ugali mwenzenu ale
Ova
Wanyakyusa sisi siyo wajinga hiviNimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!