Rais Samia, Mbunge wetu Freddy Mwakibete kakosa nini?

Rais Samia, Mbunge wetu Freddy Mwakibete kakosa nini?

Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!

Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.

Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.

Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.

Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.

Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Si ndiyo atapata muda wa kutosha kuhudumia jimbo lake
 
1. Kwani yeye aligombea ubunge au unaibu waziri?

2. Ana hati miliki ya unaibu waziri?

3. Na wengine walioachwa makosa yao unayajua isipokuwa Mwakibete?

NB:- Mbeya kazi IPO!
Una msiba kwako hakafu unaenda kulia msiba wa jirani!
 
Kwanza hajui kuongea Wala haeleweki Huwa anafanya nini.

Ukimsikiliza Bungeni unashindwa kuelewa mlimchaguaje mtu ambae hawezi kujieleza.

Kwa.wabunge wote wa Mbeya huyo ndio naona hamnazo,Bora Rais kamtoa.
Tuache tabia za kijicho, wivu, husda na moyo wa korosho.
Ukiona mwenzio kapata muungeni mkono ili nyote mfaidike.
 
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!

Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.

Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.

Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.

Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.

Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Mkuu kwani si anabaki kuwa mbunge? Mlimchagua ili awe waziri? Tena hapo ndio atakuwa na muda mwingi zaidi wa kuyashughulikia matatizo yenu.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa! Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi. Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe. Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika. Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni. Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.

Msife moyo, mabadiliko ni endelevu. Achape kazi asiwe na wasiwasi.
 
U
Unaongea nadharia za chama chako zisizo na mashiko.
Toka nyuma ya keyboard, kwa mfano nenda Kisarawe, ukifika utafunguka macho na kuelewa ninachoongelea.
Nitoke nyuma ya keyboard ili risasi zenu zipate wa kumdhuru? Mbona wewe haujajionesha wazi....

Unapambana na matokeo ya tatizo badala ya kudeal na chanzo
 
Kwanza hajui kuongea Wala haeleweki Huwa anafanya nini.

Ukimsikiliza Bungeni unashindwa kuelewa mlimchaguaje mtu ambae hawezi kujieleza.

Kwa.wabunge wote wa Mbeya huyo ndio naona hamnazo,Bora Rais kamtoa.
Mzee wa fitina kazini🤣

Si bure kuna dua lako kwenye hii tengua
 
A great thinker?
A great sinker?
A great stinker?

Chagua moja , ya kwanza haihusiki
Nyie mlio katika sinking boat, hamna choice, hutaki maendeleo na Tulia, kunywa maji ya betri.
 
Back
Top Bottom