Kwa hiyo mbunhe akipewa uwaziri ndo inakuwa suluhisho la hizo kero?
Mbunge asiyejitambua ndiye anayesubiria kupata uwaziri ili alete maendeleo kwao. Bajeti inapopotishwa kwa kuunga mkono asilimia 100% bila kuwemo na vipaumbele vya majimbo wanayotoka ndo upumbavu wenyewe.
Akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi alishindwa nini kuingiza mahitaji ya jimbo na wilaya ktk mfuko wa bajeti?
WAnahitajika vijana wanaoishi na waliokulia Busokelo waliwakilishe jimbo lao Bungeni maana hao ndo wanajua uhalisia wa kimbembe wanachopitia. Hawa wasomi wameshindwa kabisa, wabakie kwenye utumishi wa umma upande wa ajira.
Kuhusu Busokelo, hilo ni kosa la wananchi kuendelea kuamini CCM italeta maendeleo eneo hilo. Tupate Mbunge kutoka chama mbadala atuwakilishe Bungeni mtaona maendeleo yatakavyokuja kwa kasi.
CC
Gwappo Mwakatobe