Rais Samia, Mbunge wetu Freddy Mwakibete kakosa nini?

Nitoke nyuma ya keyboard ili risasi zenu zipate wa kumdhuru? Mbona wewe haujajionesha wazi....

Unapambana na matokeo ya tatizo badala ya kudeal na chanzo
Huna haja ya kujionyesha kwa yeyote, tembea uone nchi ili uweze kujipima na wngine jinsi ulivyo nyuma kimaendeleona wakati wenzio wanatumia kodi zako kwa maendeleo yao.

Tembea uone, usiishie Inyala na kurudi milimani.
 
Hawezi kufanya bila cheo cha uwaziri? Kama jibu ni ndiyop basi tatizo siyo rais bali ni katiba.
 
Mwakibete ni asshole tu ffs. Hakuna cha maana amefanya hapa Busokelo. Mtu kama Mwabukusi anaachwa anapewa ubunge mtu ambaye hata kuongea bungeni anaogopa
Mimi siamini kama aliyempokonya kura mwabukusi ni mwakibete,Bali ni yule marehemu kupitia Ngilangwa ,huyu ndio aliharibu nchi nzima kwenye uchaguzi

Lakini msimamo wangu ni huu tungeweka parachichi na mwakibete,ningechagua parachichi, parachichi ni muhimu sana Kwa afya
 
Ni kweli mkuu 😂.. jamaa hastahili kabisa kuwa mbunge
 
Kwann vijana mnapenda sana kujitoa ufahamu? Huyo Freddy mlimchagua kuwa mbuge wenu siyo waziri. Hayo maendeleo aliyaleta kwenu kama mbuge. Waziri anapaswa kupeleka maendeleo nchi nzima, na si kwenye Jimbo lake pekee. Sasa huoni kama amepunguziwa mzigo, ili ajikite kuwatumikia nyinyi peke yenu? Kwa bandiko lako inaonyesha ubinafsi alionao huyu mbuge wenu, kwamba alitumia nafasi ya uwaziri kunufaisha Jimbo lake. Unamuaribi
 
Wewe kwenu ukipiga kura lazima itaharibika tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…