Rais Samia mchuguze Waziri wa Maliasili na Utalii pamoja na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Tunapigwa pesa!

Natambua masai kuwepo ngorongoro ni kivutio kwa watalii lakini kiukweli wamekuwa wengi sana na wanafanya maendeleo makubwa ambayo eneo haliwezi kuwabeba hivyo badala ya kuendelea kuwa kivutio wanakuwa tishio.
 
Hana uwezo wa kumdhibiti.She is hopeless inept president
16391496450626.jpg
 
Tatizo la Ngorongoro ni ongezeko kubwa la idadi ya watu, bila mpango wa kuzuia overpopulation hali itazidi kuwa mbaya katika maeoneo mengi.
 
Kwa heshima na taadhima, Mhe Rais kuna kila dalili za upigaji katika Mamlaka hii. Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa NCAA imewalipa waandishi wa habari pesa nyingi wakiongozwa na Maulid Kitenge chini ya Uratibu wa mmiliki wa gazeti la Jambo la habari ndugu Mchange. Nguvu wanayotumia ni kubwa sana waandishi hawa ili kuhalalisha maamuzi ya watu wachache kutaka kuihamisha Jamii ya Wamasai ndani ya hifadhi hiyo.

Hili suala Waziri analijua fika yupo kimya na pia kuna tetesi kuwa ametoa baraka zote kwa shughuli hii kufanyika. Kiukweli kabisa inaonekana wamelipwa pesa nyingi kwa kazi hii, kama hivyo hii bajeti imetoka wapi na kwa ridhaa ya nani? Mhe Rais mchunguze Waziri huyu na watendaji wote wa juu Wizara akiwemo Karibu mkuu na watendaji wa Mamlaka.

Haiwezekani na haitowezekana kumuondoa Mmasai kwenye eneo lake la asili, zaidi kinachotafutwa ni ugomvi na migogoro isiyoisha baina ya serikali na jamii ya Wamasai Waziri na watendaji wake wanataka kuamsha migogoro hii hatutofika. Maana ya hifadhi ya Ngorongoro ni pamoja na uwepo wa jamii ya Wamasai na mifugo yao na siyo wanyama pori tu.

Wizara hii ina tatizo Mama imulike kwa jicho kali, kuna uwezekano mkubwa wa pesa za umma kuliwa hapa.
Kusisitiza jina Mmasai ni kurudisha Ukabila Tanzania.
Tumia jina Mtanzania.
Ngorongoro Conservation Area ni mali ya Watanzania wote.
Na Tanzania ni mali ya Watanzania wote.
Ndiyo sababu Wamasai wapo Mikoa ya Tanga, Morogoro, Lindi na sehemu nyinginezo.
Ni haki yao kuishi popote Tanzania.
Ngorongoro inapogeuzwa kuwa ya Wamasai, ni ukosefu wa Uzalendo.
Lakini nakubali hoja ya Binadamu kuishi Ngorongoro, sambamba na Wanyamapori.
Kuishi pamoja ndiyo 'roho' ya Ngorongoro.
Kinachotakiwa hapa ni kuboresha Mazingira ili Ngorongoro iendelee kudumu.
Tumeona Mazingira ya maeneo mengi yakiharibika na Misitu ya Asili ikipotea.
Mazingira ya Ngorongoro yakiharibika, Watanzania na mifugo yao wanaoishi humo watakosa malisho ya mifugo yao.
Wanyamapori hali kadhalika.
Misingi iliyoanzisha Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa iboreshwe, na Watanzania wote tuelezwe na tufahamu.
Ngorongoro ikiachiwa Wizara pekee, panaweza kuwa kichaka cha rushwa kwa Viongozi wa Serikali, na upigaji kwa wanaojiita Wanaharakati.
Suala hili liwekwe wazi, na Jamii Forums ndiyo mahali pake.
Wenye taarifa kamili tuwekeeni hapa JF ili tuwe na uelewa wa pamoja.
 
Kwa heshima na taadhima, Mhe Rais kuna kila dalili za upigaji katika Mamlaka hii. Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa NCAA imewalipa waandishi wa habari pesa nyingi wakiongozwa na Maulid Kitenge chini ya Uratibu wa mmiliki wa gazeti la Jambo la habari ndugu Mchange. Nguvu wanayotumia ni kubwa sana waandishi hawa ili kuhalalisha maamuzi ya watu wachache kutaka kuihamisha Jamii ya Wamasai ndani ya hifadhi hiyo.

Hili suala Waziri analijua fika yupo kimya na pia kuna tetesi kuwa ametoa baraka zote kwa shughuli hii kufanyika. Kiukweli kabisa inaonekana wamelipwa pesa nyingi kwa kazi hii, kama hivyo hii bajeti imetoka wapi na kwa ridhaa ya nani? Mhe Rais mchunguze Waziri huyu na watendaji wote wa juu Wizara akiwemo Karibu mkuu na watendaji wa Mamlaka.

Haiwezekani na haitowezekana kumuondoa Mmasai kwenye eneo lake la asili, zaidi kinachotafutwa ni ugomvi na migogoro isiyoisha baina ya serikali na jamii ya Wamasai Waziri na watendaji wake wanataka kuamsha migogoro hii hatutofika. Maana ya hifadhi ya Ngorongoro ni pamoja na uwepo wa jamii ya Wamasai na mifugo yao na siyo wanyama pori tu.

Wizara hii ina tatizo Mama imulike kwa jicho kali, kuna uwezekano mkubwa wa pesa za umma kuliwa hapa.
Umesahau kwamba tunakula kwa urefu wa kamba zetu
 
Unaacha wizara ya nishati umesharukia maliasili. Bas wizara zote zipigwe tochi
 
Kutokana na hali ya binadamu kuongzeka kwa kasi.wafugaji wanatakiwa Kupewa elimu ya lazma ,waache kufuga kizamani.
Dunia nzima inapambana na uhalibifu wa mazingila,pia upungufu wa maji.lakini wafugaji wa Tanzania bado wabishi.
Na sijui madocta wa mifugo na kilimo wanafanyakazi gani.
 
Kwa heshima na taadhima, Mhe Rais kuna kila dalili za upigaji katika Mamlaka hii. Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa NCAA imewalipa waandishi wa habari pesa nyingi wakiongozwa na Maulid Kitenge chini ya Uratibu wa mmiliki wa gazeti la Jambo la habari ndugu Mchange. Nguvu wanayotumia ni kubwa sana waandishi hawa ili kuhalalisha maamuzi ya watu wachache kutaka kuihamisha Jamii ya Wamasai ndani ya hifadhi hiyo.

Hili suala Waziri analijua fika yupo kimya na pia kuna tetesi kuwa ametoa baraka zote kwa shughuli hii kufanyika. Kiukweli kabisa inaonekana wamelipwa pesa nyingi kwa kazi hii, kama hivyo hii bajeti imetoka wapi na kwa ridhaa ya nani? Mhe Rais mchunguze Waziri huyu na watendaji wote wa juu Wizara akiwemo Karibu mkuu na watendaji wa Mamlaka.

Haiwezekani na haitowezekana kumuondoa Mmasai kwenye eneo lake la asili, zaidi kinachotafutwa ni ugomvi na migogoro isiyoisha baina ya serikali na jamii ya Wamasai Waziri na watendaji wake wanataka kuamsha migogoro hii hatutofika. Maana ya hifadhi ya Ngorongoro ni pamoja na uwepo wa jamii ya Wamasai na mifugo yao na siyo wanyama pori tu.

Wizara hii ina tatizo Mama imulike kwa jicho kali, kuna uwezekano mkubwa wa pesa za umma kuliwa hapa.
 
Historia itamtambua Samia kama Rais aliyeruhusu Wamasai waondolewe Ngorongoro.
 
Back
Top Bottom