Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

Wewe ndio huelewi kitu kwenye mambo ya uwindani, watu wanamiliki vitalu tena kwa kulipia pesa nyingi sana, ili kuwinda wanyama kulingana na kibali chake alichopewa, na kibali kinakuwa na masharti labda kutokuua baadhi ya wanyama fulani, sasa kama mamba hazuiliwi kuuawa kosa lake liko wapi? Wanyimeni vibali sasa.
 
Acha kukurupuka wewe. Kwenye mapori tengefu uwindaji unaruhusiwa kwa vibali maalumu. Hata ukitaka kuanzisha bustani ya wanyamapori ruksa ipo na wanyama utapewa vigezo na masharti kuzingatiwa. Ukitaka pia kuanzisha biashara ya nyamapori ruksa ipo wewe fungua butcher lako tu.
 

Wawindaji Maarufu Duniani waitwai Trophy Hunters ambao wamewahi pia kushitakiwa Kwa uwindaji Haramu wameripotiwa kuua mamba mkubwa zaidi Duniani ambae alikuwa Anapatikana Tanzania pekee.

Video iliyokwenda viral ikionesha Jamaa hao Mke na Mume wakijisifia na kujigamba kumuua mamba huyo imezuia sintofahamu Kwa jamii.

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori imedai itatoa taarifa rasmi kuhusiana na jambo Hilo.

View: https://www.instagram.com/p/C1W5hB8okw_/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Swali.
Je uwindaji wa kiholela unaruhusiwa hata Kwa nyara ambazo Zina umuhimu wa kipekee? Mamlaka mnatupiana mpira kwamba mnawaogopa hao Wazungu au mumevuta mlungula?
 
Yamkini hawa watu wamepewa kibali cha kuwinda na wametekeleza jambo lao sasa sijui tunachoshangaa nini ,maana tuliambiwa mamba wamezidi
 
Habari umeleta mwenyewe na hapo juu imeandikwa na the citezetz kuwa (crocodile trophy hunting is legal in Tanzania)

Sasa unauliza tena?
 
Tuache ujuaji wa ajabu vibali vya kuwinda mamba havikatazi kuwinda mamba wakubwa ,kama ana kibali hakuna jambo la ajabu .
 
Kwa mamba, ndiyo mafanikio ya Royal tour Tanzania maana mamba wamezidi kuwa wengi, ila kuwepo idadi ya mamba wanaoruhusiwa kuvunwa kupitia utalii wa kuwinda ili kuhakikisha kizazi endelevu cha mamba na pia wananchi wawe salama mamba wasizidi sana idadi.

Hivyo gazeti la citizen na editor mhariri li-balance story isiwe linatangaza na kuandika kinachofurahisha mabeberu au washindani wetu kiutalii wa nchi za ukanda huu na kusini mwa Afrika.

We offer Big 5 Hunting in the wildest parts of Africa, where the hunter has unlimited access to game-rich areas that produce quality big game trophies.​







Explore Our Hunting Regions


BOTSWANA
MOZAMBIQUE
NAMIBIA
SOUTH AFRICA
UGANDA
ZIMBABWE

Africa is home to all the dangerous and big game species​


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…