Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22 Januari, 2025.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 22 Januari, 2025. Majaji walio apa ni :
▪Mhe. Jaji George Mcheche Masaju.
▪Mhe. Jaji Dkt. Ubena John Agatho.
▪Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela.
▪Mhe. Jaji Latifa Alhinai Mansoor.
Amesema hayo wakati akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino, leo Januari 22, 2025.
Ikumbukwe, Januari 20, 2025, Rais Samia alitangaza uwepo wa maambukizi ya Virusi vya Marburg kuwa mtu mmoja amekutwa na maambukizi hayo Wilayani Biharamulo, Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.