johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku.
Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu ikolojia ya nchi.
Nne ni tatizo la tabia nchi.
Hivyo mgao wa maji hauepukiki
Na kwahiyo naagiza Wakuu wote wa mikoa kuweka ulinzi katika mito yote ili kulinda maji ya watu wetu.
========
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatambua Miji mingi mikubwa inakabiliwa na uhaba wa maji unaopelekea mgao wa maji na upungufu wa umeme
Amesema hiyo imetokana na mambo mawili makubwa ambayo ni Ubishi na ukaidi wa wanadamu na Kudra za Mungu
Amefafanua, "Bado kuna wananchi wengi wameendelea kuvamia vyanzo vya maji kwa kuyachepusha kwa ajili ya matumizi mengine. Pia, kuna watu wanalima karibu na vyanzo vya maji. Haya yote yanapelekea Vyanzo vya Maji kupungua"
"Nimefatana na viongozi wote hawa wa dini kwanza, kufuatana na viongozi wa dini wote hawa ni baraka kama kuna mapepo huko njiani yanapeperuka, pili nimeipa heshima Mwanza, tutaanza hapa dua za kuomba mvua zenye neema kwa Taifa letu"-Rais Samia.
Soma, Pia
Mwaka 2021

- Waziri wa Maji, Juma Aweso akubali mgao wa maji, pia kuwe na bei elekezi kwa wauza maji binafsi
- Dawasa: Mtambo wa Maji Makongo juu wawashwa na maji yaongezeka, Mabwawa 26 yaliyochepusha maji ya Ruvu yakamatwa!
- Serikali yaagiza bonde la mto Ruvu lianze kulindwa na kamati za ulinzi zisimamie hilo
- Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama
- Waziri Aweso: DAWASA wakopesheni wanaotaka kuunganishiwa maji watalipa kidogokidogo
- Waziri Aweso aigaza DAWASA kuboresha miundombinu ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu
- DAWASA imekamilisha ujenzi wa vituo 30 vya huduma kwa jamii( Public Sanitary Service Point) katika wilaya zote tano za Mkoa wa Dar
- DAWASA: Matengenezo ya Mtambo wa Ruvu Chini yanakamilika leo, Tatizo la Maji litakwisha
- DAWASA: Maji yatapatikana umeme ukirejea
- Waziri wa Maji Jumaa Aweso asisitiza Mamlaka za Maji nchini, kufunga mita za malipo ya kabla
- DAWASA yatoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji Malamba Mawili
- Dar: Shilingi bilioni 18 zatengwa kwa ajili ya kuimarisha upatikanaji wa maji safi Msumi iliyopo kata ya Mbezi
- DAWASA: Kuendelea kwa matengenezo ya umeme katika mitambo ya maji ya Ruvu juu na Ruvu chini
- Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini
- MORUWASA: Tuna upungufu wa uzalishaji maji kwa 49% ndio maana Morogoro kuna mgao
- DAWASA yasema imewaunganishia Huduma ya Maji Wakazi 1420 wapya
- Waziri Aweso: Bwawa la Mindu ni roho ya Wananchi wa Morogoro. Watu kukosa maji wiki 3 Morogoro ni uzembe. MORUWASA Msikae Ofisini
- DAWASA: Changamoto ya maji Tabata kuisha Disemba 2024
- DAWASA: Mradi wa Maji unaogharimu Bilioni 34.5 kumaliza Tatizo la Maji Ukonga, Ubungo, Kibamba, Segerea na Ilala Mwaka huu
- Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya DAWASA, pia wanaoiba Mita za Maji washughulikiwe
- Jumaa Aweso: Maji yapo, umeme upo, ni marufuku kutoa Maji Saa Nane Usiku
- Waziri Aweso anaagiza wahandisi wa Maji kusimamishwa kazi ila baada ya miezi mitatu wanarudishwa kazini. Huu ni usanii mkubwa
- Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA, Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake
- DAWASA yafafanua sababu za Wakazi wa Muheza Kibaha kukosa huduma ya maji kwa wiki nzima
- DAWASA: Huduma ya Maji Muheza Maili Moja itarejea, mabomba yaliyoharibika yametengenezwa
- Waziri Aweso: Maji yapo, aagiza wafanyakazi wa DAWASA kutokaa ofisini "Wananchi wanahitaji maji"
- Waziri Aweso: Tatizo la Maji Mbezi Beach Mkoani Dar Es Salaam limeisha. Kulitokea Hitilafu
- DAWASA na TANESCO wakubaliana kuimarisha huduma Dar na Pwani
- DAWASA imesema, hali ya upatikanaji wa Maji ndani ya eneo lake la kihuduma Dar na Pwani ipo vizuri
- DAWASA: Usambazaji wa maji Kinondoni wafikia 97%, Je, ulipo bado kuna shida ya maji?
- Mhandisi Bwire: Tunairudisha DAWASA iwe ya wananchi tukishirikiana kupitia Wenyeviti wa mitaa changamoto zitaisha
- Waziri Aweso awataka DAWASA kushirikiana na wenyeviti wa Mitaa ili kutatua changamoto za maji na kurahisisha utoaji wa huduma
- DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane (8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16