Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

Hapo nakuelewa. Hoja yako ya mwanzo ilikuwa jumuishi (general).
 

Unanunua madege huwekezi kwenye kuvuma maji. Una bambika kesi Mungu yupi akusikie wewe?
 
Hii nchi tuna hali mbaya sana kama kiongozi tulie naye ndio huyu basi kama taifa tuna janga kubwa sana
Bora huyu, kulikuwa kuwa na kiongozi muuaji na mwenye chuki,

Samia Ni best president
 
Ni mipango mibovu pia ya watendaji, mvua huwa inanyesha ya kutosha tu, mbona sijawahi ona maeneo ya kutunza maji........nchi hii wanasiasa wanaongea rahisi sana mambo magumu
 
Madege alinunua huyo mungu wenu wa Chatttle, na kwenda kujenga uwanja wa billion 40,pesa ambayo ilitosha kujenga mabwawa ya kuifadhi maji

Wewe hujui kuwa kazi inaendelea na madege zaidi yako bado kwenye bomba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…