Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

Serikali hii naipa mbinu kila siku lkn haisikii.

Punguzeni Bei ya gesi matumizi ya kuni na mkaa yapungue Hadi vijijini.

Siku hizi ukiwa Kibaha hutaona gari la mkaa Ila utaona pikipiki zaidi ya elfu zenye Lumbesa za mkaa wakitokea Mlandizi na maeneo yanayozunguuka mto Ruvu.

Kila ofisa wa maliasili aidha Ni tajiri au ana wake watu na kuendelea.
 
Ni mipango mibovu pia ya watendaji, mvua huwa inanyesha ya kutosha tu, mbona sijawahi ona maeneo ya kutunza maji........nchi hii wanasiasa wanaongea rahisi sana mambo magumu
Tatizo hakuna mipango endelevu, hili jambo lifanyike kitaalamu.
 
Ng'ombe mmoja anakunywa lita 40 kwa siku 🤣🤣 ama kweli mama kafungua nchi wallah!!
Ng'ombe wa kisasa anaweza kupiga lita 40 bila shida kabisa. ila sio hawa wa kienyeji
 
Serikali hii naipa mbinu kila siku lkn haisikii.
Punguzeni Bei ya gesi matumizi ya kuni na mkaa yapungue Hadi vijijini...
Gesi asilia toka igunduliwe miaka ya sabini haijawahi kuwekwa kwenye mtungi,gesi inayotumika inatoka nje. Labda tuwaulize hao serikali kwanini imeshindikana au tuna ombwe la uongozi?
 
Kwahiyo hao watu wamevamia Magu alipofariki au?
Ndo maanake si unajua magu alikuwa anaua sana watu so walikuwa wanamuogopa sasa baada yakuja mama na yeye mama ni mpole hanaga noma[emoji23][emoji23]
 
Mimi ni ccm ila kwa huyu mama nitakuwa mstari wa mbele kuhakikisha 2025 hatoboi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…