Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

Labda tu niwaibie siri kidogo hizi mambo za umeme na maji ni mipango ambayo soon tu mtaona nini hasa lengo
 
Kama Serikali haijui la kufanya basi hiyo no hatari zaidi. Chini ya ardhi kuna maji mara ishirini ya maji kwenye uso wa nchi. Hata Hilo hawawezi Bali kulalamika mifugo na kilimo. Sasa maji yatakuwa na maana gani Kwa nchi iwapo hayatumiki kwa ajili ya kilimo, mifugo na shughuli nyingine za maisha (livelihoods) ya binadamu?!
 
Mbinu mlizotumia five years ago kwanini mstumie hiyo hiyo maana mambo yenu hayajabsdirika
 
Anaeleza habari ya Dar kukosa maji, mbona haelezi Mwanza kukosa maji na ziwa lipo hapo jirani?
Wewe ni mjinga, mwenye chuki na boya.Amesema anatambua miji mingi mikubwa,do you understand wewe kiazi?

Pili hayo maji ya Ziwa yanasukumwa kwa ushuzi wako au kwa umeme? Kama umeme ni shida utasukuma vipi maji kutoka hapo kwenye intake na kwenye main line zote na maji yajae kwenye matanki?

Mlienda shule kukuza makalio sio bongo zenu.
 
Enzi za JPM wanadamu waliacha ubishi?
 
Ng'ombe mmoja anakunywa lita 40 kwa siku [emoji1787][emoji1787] ama kweli mama kafungua nchi wallah!!
Kuna team kubwa ipo humu jf, either kimakusudi au bahati mbaya, ambayo ina hakikisha negative energy ina spread kwa watu kuliko positive energy, ndo maana unaeza ongea kitu kinacho make sense lakini bado mtu akaku criticise
 
Naona mama Ange kaaa kimya,

Watu huku tunahaaha, maji hakuna, wala sio mgao,. Umeme mgao kwa masaa,

Halafu Raisi ana ongea bila kuonyesha solution, hata ya uongo tu atutie matumaini.

Ningekua mimi ningesema hivi!

1. Walio chepusha maji mifereji ifungwe, naomba report ndani ya siku 2.
2. Tozo na kodi kwenye viwanda vya maji ya kunywa zimesamehewa kwa kipindi cha mwaka mmoja, hivo basi, Bei ya maji ya chupa itapungua kwa asilimia 30.
3.Mchakato wa kununua mtambo wa kusafisha maji ya bahari umekwisha anza Ili kuzuia Hali hii isijitokeze tena.
4.Nimetoa week moja kwa Waziri wa maji na umeme(nishati), kuhakikisha adha hii inaisha kabisa, Kama hawataweza basi watakua wamejitengua.

Mama, usiamini kila kitu, huenda unahujumiwa. Tumbua wa wili watatu uone mambo yanavo kwenda.(hua namuomba mungu Hawa manyangau wasije kushawishi au kukutegea wakakuingiza kwenye dili zao chafu Kama zile za Richmond na Epa
 
Tangia Magufuli afariki,watu wanajikatia miti hovyo tu kwenye mapori,pita lile pori la Biharamulo,pita pori la Geita kwenda Katoro,yaani utafikiri hakuna wasimamizi
Nendeni Sasa na Gwajiboy mkamfufue
 
Acha kutete ujinga wewe tuba maziwa mangapi? Tuna mito mingapi isiyokauka kwa vipindi vyote vya mwaka? Kwanini wasitoe maji kwenye vyanzo vya uhakika? Ninyi mnaona tuna viongizi apo?
 
Kwa hiyo ziwa victoria nalo limekauka sababu ya ukame? Au unafikiri wote wanategemea maji ya kutoka kwenye mito?

Maji ya mradi wa ziwa Victoria nayo hayatoki Sasa hivi, hebu tupe sababu
Kanda ya ziwa mna ng'ombe wengi wanakunywa maji na kukausha ziwa
 
Tynaongozwa na vipofu lakini wabishi wanajifanya wanaona matokeo wote shimoni
 
Waandamane waondoe mizigo Ikulu
 
Acha kutete ujinga wewe tuba maziwa mangapi? Tuna mito mingapi isiyokauka kwa vipindi vyote vya mwaka? Kwanini wasitoe maji kwenye vyanzo vya uhakika? Ninyi mnaona tuna viongizi apo?
Sasa unamlaumu rais Samia kwa lipi? Ulitaka ndani ya mwaka mmoja wa urais wake awe ameshavuta maji kutoka katika hayo maziwa unayoyasema? Unafikiri sawasawa kweli? Sote tunakubaliana kuwa serikali kwa ujumla wake ilipaswa iwe imeshafanya jambo tangu hapo nyuma, lakini kushusha lawama za hali ya sasa kwa rais Samia peke yake ni chorus zilezile za kumchukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…