Rais Samia mgeni rasmi "KiziMkazi Day" Festival Visiwani Zanzibar Jumamosi Agosti 28

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,381
Reaction score
1,600
Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA
__________________________________


Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT,

#KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao huku wakijiwekea mikakati mbalimbali ya Maendeleo ya Wao na ya vijiji vyao,

Rais Samia amekuwa akishiriki karibu marazote tangu akiwa Waziri mpaka akiwa Makamu wa Rais,

Watu wengi Visiwani Zanzibar hawakutegemea awamu hii Mhe Samia akiwa Rais wa JMT kama angehudhuria kwa " Status " yake yakuwa Rais wa JMT,

Mama amewashangaza wengi na kesho yuko KisiMkazi Vestival kama kawaida yake ya kabla, Wakati na baada ya kuwa Rais wa JMT,

#KUNAJAMBO LA KUJIFUNZA HAPA



 

 

Raisi kivuli ameamua bora liende [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila NCCR NA CHADEMA WAKIKUSANYIKA KUNA KORONA ILA HAO WENGINE NI MIUNGU WATU WAO KORONA HAIPO HII CHUKI TUNAYO IJENGA KUNA SIKU ITATUGHALIMU
Wewe tulia kabla hujalia ,hao wanajiona wapo protected ,corona haina akili vizuri inawapenda wanaojifanya ni wapinga chanjo au wapenda zulma unazuia wengine wanaruhusu wengine ,huwenda sisi tunozuiwa tukafurahi baadae kuwa Mwenyezi Mungu ametuepusha ,ila hawa wanaojifanya wao ndio wenye nchi wajue korona imepiga uturn na inaondoka na wana ccm kisirisiri na zahiri.
 



Dua la kuku...... Nenda katubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…