Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali ya umma gani unaourejerea? Vyovyote vile na tafsi yako lakini chcote alichokifa JPM kinaonekana mpaka leo sio kukopa, kuomba na kutoza bila kuleta athari chanya kwa wananchi wanaotozwa. Juhudi nyingi zimehamishiwa Dar Es Salaam wakati makao makuu yakisuasua hiyo sio sawaUsichanganye mchele na pumba, Dikteta Magufuli alikuwa anajenga Chato kwa kupora fedha za umma bila utaratibu wakati Samia bado hajafanya hivyo!