Mali ya umma gani unaourejerea? Vyovyote vile na tafsi yako lakini chcote alichokifa JPM kinaonekana mpaka leo sio kukopa, kuomba na kutoza bila kuleta athari chanya kwa wananchi wanaotozwa. Juhudi nyingi zimehamishiwa Dar Es Salaam wakati makao makuu yakisuasua hiyo sio sawa