Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Kazi yangu ni kilimoNjaa inakusumbua, fanya kazi mtoto wa kiume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi yangu ni kilimoNjaa inakusumbua, fanya kazi mtoto wa kiume.
Kwa hiyo na wewe na ujinga wako unapata wapi nguvu ya kunihoji mimi?Hili boflo linajichanganya sanalinajiona lina haki ya kipekee ya kujua taarifa za Rais.
Huyu Luka ni Mpuuzi sana, mil 500 ametoa wapi ni 150 TU mwambie aache uchawa promax!Hakuna wazungumzaji wa kiswahili zaidi ya 150m hapa duniani. Hizi taarifa za kupika kapelekeeni wajinga huko vijijini wasiotambua.
Takwimu sahihi za lugha zenye wazungumzaji wengi duniani kiswahili hakimo hata katika 10 bora sasa sijui hizi takwimu mmeokoteza hapo Lumumba na wewe ukabebeshwa tu kuja kubandika hapa.Ikumbukwe ya kuwa kiswahili kimefanikiwa kutambulika au kutambuliwa na UNESCO kuwa Lugha ya saba ya kimataifa,ikiwa na wazungumzaji zaidi ya Millioni 500 Duniani kwote.
Kihispaniola ndio neno sahihi chawa sio kispaniola.Siku hiyo na siku hizo za kongamano kutafanyika pia semina mbalimbali pamoja na uzinduzi wa kamusi ya kiswahili na kispaniola iliyoandaliwa na chuo kikuu cha Dar es salaam.
Huyo mama yako amepelekaje kiswahili kimataifa wakati lugha yenyewe wakoloni wameikuta na alikuwa hajazaliwa?Mimi Mwashambwa Lucas Napongeza sana hatua hii ya Mheshimiwa Rais na juhudi zake za kukipeleka kiswahili kimataifa
Zingatia kanuni za uandishi unapomaliza sentensi kwa kuweka kituo kikubwa anza sentensi inayofuata kwa herufi kubwa sawa chawa ?.lakini Rai yangu ni kuomba sisi kama Taifa kuwa mstari wa mbele katika kukitumia katika maeneo mbalimbali ya kiutawala na maamuzi.
Mfano bado haijafahamika vizuri kwanini mpaka leo unakuta kesi mahakamani inasikilizwa kwa kiswahili halafu hukumu na mwendo mzima wa kesi unatolewa kwa lugha ya kiingereza.jambo ambalo linawanyima haki watu wasio na uelewa na lugha hiyo ya kiingereza hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa hata tu waliosoma na kufika vyuo vikuu unakuta umahiri katika lugha hii ya kigeni ni tia maji tia maji tu.
Sasa kwanini tuendelee kuwatesa watanzania na kuwapa kazi ya kutafuta wakalimani wa lugha ya kiingereza kuwafafanulia kilichoandikwa na jaji.kwanini hukumu na mwenendo mzima wa kesi usiandikwe kwa kiswahili tu ieleweke.
Sijuwi ndio kiswahili cha mama chawa?Pili huwa nashangaa unakuta viongozi wetu wengine yupo kwenye hadhira ya huko vijijini lakini unakuta anachanganya na kutoa ufafanuzi kwa kuchanganya kiswahili na maneno ya kiingereza.sasa lengo Sijuwi huwa ni nini.maana jambo hilo huwaacha wananchi hewani kwa kushindwa kuelewa baadhi ya hoja.
"Pia sisi kama taifa " sio "Pia sisi kama Taifa" nakurudisha leo elimu ya awali chawa wa Lumumba elfu saba.Pia sisi kama Taifa tunatakiwa ndio viongozi wetu wawe mstari wa mbele katika kutumia lugha hii ya kiswahili katika hotuba zao hususani kunapokuwa na wageni wameingia Nchini mwetu.cha kufanya ni kutafuta wakalimani wa kufanya kazi hiyo ya kufasili
Zingatia kanuni za uandishi.. Ofisi zote za umma na matangazo yao nayo pia yawe yanatolewa kwa kiswahili.
Tuache kukitukuza sana kiingereza.maana imefika wakati inaonekana mtu anayezungumza kiingereza ana akili sana na msomi sana kuliko yule anayezungumza kiswahili.ndio maana ukizungumza kwa kiingereza jambo hata la kijinga utaonekana una akili nyingi na utaona watu wakikushangilia na kukusifia sana kwa kuwa tu umeongea kiingereza.
Bwabwa tu wewe wanakumanua manua basi unajiona mjanja.Kwa hiyo na wewe na ujinga wako unapata wapi nguvu ya kunihoji mimi?
Wazazi wako wana hasara kubwa sana na aibu kubwa sana hapa DunianiBwabwa tu wewe wanakumanua manua basi unajiona mjanja.
Hoja hupingwa kwa hoja na siyo porojo na blaablaaHuyu Luka ni Mpuuzi sana, mil 500 ametoa wapi ni 150 TU mwambie aache uchawa promax!
Sina njaa mimiAcha kuendekeza njaa mtoto wa kiume wewe.
umbaaaaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kwanza la kiswahili kimataifa litakalofanyika Havana Nchini Cuba kuanzia Tarehe 7 November hadi 10 November.
Ambapo kongamano hilo litawakutanisha washirika zaidi ya mia 6 yaani 600 kutoka maeneo mbalimbali.lakini pia katika kongamano hilo litahudhuriwa pia na Rais wa Nchi hiyo ya Cuba.
Ikumbukwe ya kuwa kiswahili kimefanikiwa kutambulika au kutambuliwa na UNESCO kuwa Lugha ya saba ya kimataifa,ikiwa na wazungumzaji zaidi ya Millioni 500 Duniani kwote.hivyo hatua hii ni katika muendelezo wa kukipeleka na kukitambulisha kiswahili katika anga la kimataifa.
Siku hiyo na siku hizo za kongamano kutafanyika pia semina mbalimbali pamoja na uzinduzi wa kamusi ya kiswahili na kispaniola iliyoandaliwa na chuo kikuu cha Dar es salaam.
Mimi Mwashambwa Lucas Napongeza sana hatua hii ya Mheshimiwa Rais na juhudi zake za kukipeleka kiswahili kimataifa.lakini Rai yangu ni kuomba sisi kama Taifa kuwa mstari wa mbele katika kukitumia katika maeneo mbalimbali ya kiutawala na maamuzi.
Mfano bado haijafahamika vizuri kwanini mpaka leo unakuta kesi mahakamani inasikilizwa kwa kiswahili halafu hukumu na mwendo mzima wa kesi unatolewa kwa lugha ya kiingereza.jambo ambalo linawanyima haki watu wasio na uelewa na lugha hiyo ya kiingereza hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa hata tu waliosoma na kufika vyuo vikuu unakuta umahiri katika lugha hii ya kigeni ni tia maji tia maji tu.
maana wengi wamekariri na walikariri kwa ajili ya kujibia mitihani ya darasani tu.ambapo unakuta mtu amemaliza chuo kikuu lakini hawezi kuongea hata kwa dakika mbili kiingereza kilichonyooka kama rula bila kusoma mahali popote pale.
Sasa kwanini tuendelee kuwatesa watanzania na kuwapa kazi ya kutafuta wakalimani wa lugha ya kiingereza kuwafafanulia kilichoandikwa na jaji.kwanini hukumu na mwenendo mzima wa kesi usiandikwe kwa kiswahili tu ieleweke.
Pili huwa nashangaa unakuta viongozi wetu wengine yupo kwenye hadhira ya huko vijijini lakini unakuta anachanganya na kutoa ufafanuzi kwa kuchanganya kiswahili na maneno ya kiingereza.sasa lengo Sijuwi huwa ni nini.maana jambo hilo huwaacha wananchi hewani kwa kushindwa kuelewa baadhi ya hoja.
Pia sisi kama Taifa tunatakiwa ndio viongozi wetu wawe mstari wa mbele katika kutumia lugha hii ya kiswahili katika hotuba zao hususani kunapokuwa na wageni wameingia Nchini mwetu.cha kufanya ni kutafuta wakalimani wa kufanya kazi hiyo ya kufasili. Ofisi zote za umma na matangazo yao nayo pia yawe yanatolewa kwa kiswahili.
Tuache kukitukuza sana kiingereza.maana imefika wakati inaonekana mtu anayezungumza kiingereza ana akili sana na msomi sana kuliko yule anayezungumza kiswahili.ndio maana ukizungumza kwa kiingereza jambo hata la kijinga utaonekana una akili nyingi na utaona watu wakikushangilia na kukusifia sana kwa kuwa tu umeongea kiingereza.
Naomba niishie hapa kwanza maana najuwa wengi hawapendi maandiko marefu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
We bwege ningekua nakufahamu ningekupopoa hata na jiwe tu kiukweli sikupendiNdugu zangu Watanzania,

Mwambie huyo mama wakati yuko huku na kule nje ya nchi huku watu wanapiga kama kawaida Ili kumpa CAG apate cha kuandika.Ndugu zangu Watanzania,

Kwenye hilo kongamano, mama atakapokuwa anaongea hatachanganya kiingereza na kiswahili?Ndugu zangu Watanzania,

Kiswahili siyo Lugha ambayo mtu anaweza akajivunia, hata hapo nchini Uganda tu Watu wa huko wanatambua kwamba Kiswahili ni "lugha ya wezi."Ndugu zangu Watanzania,