Imeisha kitu gani?Imeisha hiyoo
Wao sio wajinga kivileKKKT watoe waraka wao siku hiyo. 😎😎
Hili jinga linatuamia ukabila kama kichaka cha kuendesha siasaMwamba anaweza akawepo.
😆😆😆Hili jinga linatuamia ukabila kama kichaka cha kuendesha siasa
Tamko limtishe nani!!Imeisha kitu gani?
Mamako mwenyewe hapo hajiamini, anajua anaweza kuondoka hapo, nyuma jamaa wanatoa tamko lao na kupinga ule mkataba wa hovyo wa bandari.
Usichokijua, hii issue ya kuhudhuria inakuwa imeshapangwa muda mrefu, kwa hiyo kinachotokea hapo, hakikutarajia kama hali ya kisiasa itakuwa kama ilivyo kwa sasa nchini, na hakiwezi kubadilisha msimamo wa KKKT juu ya kile walichopanga kuongea kuhusu ule mkataba wa hovyo.
BureRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Pole yako.Imeisha kitu gani?
Mamako mwenyewe hapo hajiamini, anajua anaweza kuondoka hapo, nyuma jamaa wanatoa tamko lao na kupinga ule mkataba wa hovyo wa bandari.
Usichokijua, hii issue ya kuhudhuria inakuwa imeshapangwa muda mrefu, kwa hiyo kinachotokea hapo, hakikutarajia kama hali ya kisiasa itakuwa kama ilivyo kwa sasa nchini, na hakiwezi kubadilisha msimamo wa KKKT juu ya kile walichopanga kuongea kuhusu ule mkataba wa hovyo.
Wanajitisha wenyeweTamko limtishe nani!!
Imeisha kitu gani?
Mamako mwenyewe hapo hajiamini, anajua anaweza kuondoka hapo, nyuma jamaa wanatoa tamko lao na kupinga ule mkataba wa hovyo wa bandari.
Usichokijua, hii issue ya kuhudhuria inakuwa imeshapangwa muda mrefu, kwa hiyo kinachotokea hapo, hakikutarajia kama hali ya kisiasa itakuwa kama ilivyo kwa sasa nchini, na hakiwezi kubadilisha msimamo wa KKKT juu ya kile walichopanga kuongea kuhusu ule mkataba wa hovyo.
Mbona mnapiga kelele kama watu waliochanganyikiwa tangu juzi lilipotoka?!Tamko limtishe nani!!
Nani apige kelele!?..tunawaonesha tu ujuha wenuMbona mnapiga kelele kama waliochanganyikiwa tangu juzi lilipotoka?!
KKKT watoe waraka wao siku hiyo. 😎😎
Juha ni wale wanaoshindwa kujibu hoja za TEC, na kukimbilia kujificha kwenye uchambuzi wa mchongo TV Imaan!.Nani apige kelele!?..tunawaonesha tu ujuha wenu