Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.

Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Nashauri apewe waraka asome au asomewe.
 
Ajiandae kupokea ujumbe na sauti ya Mungu kwa ajili ya taifa hili aliloliumba Mungu mwenyewe
 
Wao sio wajinga kivile
KKKT sio wa kihivyo. Ujumbe itafika kwa wkt na majira ya Mungu mwenyewe. TEC wametimiza kwa wkt na majira Mungu aliyoruhusu kwa upande wao. Na hii yote ni Ili mamlaka ya nchi isikie na kuachana na uovu huu ambao tayari ni chukizo kwa Mungu. Ujumbe wa TEC ni WA kwanza,wakishipaza shingo Mungu atatuma ujumbe wa pili hadi hesabu ya Mungu itakapotimia kama wakikaidi kuitii sauti na ujumbe huu wa Mungu ndipo pigo litashuka juu ya watawala. Ee Mungu utakalo lifanyike na mapenzi yako yatimizwe. Amen
 
Kuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda

Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya muda maisha yanaendelea kama kawaida

kwa waliopevuka kiakili baada ya uchaguzi wa 2010 may be naweza kuwajulisha kuwa Kanisa lilitembea bega kwa bega na Katibu wao wa zamani Wilbroad Slaa kuhakikisha wanamuangusha Rais Jakaya Kikwete

Walitoa Waraka nyakati za Kampeni kutaka Wakristo wote wachague Mgombea Mchamungu ( Dr Slaa) lakini kama ilivyo kawaida yetu Raia wa kawaida…tunawasikiliza Viongozi wetu wachochezi, tunawashangilia lakini ikifika wakati wa Maamuzi huwa tunaamua kwa Maslahi ya Nchi yetu

Waraka umesomwa utajadiliwa na utakuwa talk of the town kwa wiki kadhaa baada ya hapo Maisha yataendelea kama kawaida.

kama kuna Mtu ana rekodi ingependeza sana angetuwekea ma nyaraka kadhaa yanayotolewa na kanisa yaliwahi kumtisha Rais gani wa Nchi hii?

Tena kile ki Mzee Mwinyi ndio Hatare kabisa …anawasikiliza mnavyomtukana vyema sana na hata ikibidi anaweza akawaomba radhi lakini akitoka hapo anaendelea na mambo yake kama kawaida

Alimfanyia hivyo Nyerere kwny kufuta Azimio la Arusha na kuruhusu Uhuru wa watu kujieleza …kanisa nalo likamsakama sana lakini aliwaheshimu sana lakini hakuruhusu wachezee Mamlaka yake ya ki dola, the same to Mwana kijiji mwenzangu wa Msoga …tena mnakutana kwny Vikao mnampangia mikakati, kabla ya kutoa press release ya Waraka tayari yeye ana nakala kupitia Wandani wake waliopo Kanisani

Dola inazijua sana Taasisi za kidini pamoja na mapungufu yake, hayati JPM alipoanzisha heka heka ya vyeti feki na kukagua Fedha za Serikal kila eneo ikiwemo zinazokwenda kwny Taasisi za Kidini alikutana na Madudu mengi sana hadi Yule Sister Mkuu wa Idara ya Fedha na Bajeti wa pale Bugando alijirusha kutoka ghorofani na kufariki papo hapo

Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.

Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Wamemsogeza karibu wakampige nyundo live. KKKT hawajawahi kuwa na uchawa kama BAKWATA. Watamkaanga live bila kupepesa macho kwa suala lake la kuuza nchi kwa waarabu wa DPW.
 
Kuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda

Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya muda maisha yanaendelea kama kawaida

kwa waliopevuka kiakili baada ya uchaguzi wa 2010 may be naweza kuwajulisha kuwa Kanisa lilitembea bega kwa bega na Katibu wao wa zamani Wilbroad Slaa kuhakikisha wanamuangusha Rais Jakaya Kikwete

Walitoa Waraka nyakati za Kampeni kutaka Wakristo wote wachague Mgombea Mchamungu ( Dr Slaa) lakini kama ilivyo kawaida yetu Raia wa kawaida…tunawasikiliza Viongozi wetu wachochezi, tunawashangilia lakini ikifika wakati wa Maamuzi huwa tunaamua kwa Maslahi ya Nchi yetu

Waraka umesomwa utajadiliwa na utakuwa talk of the town kwa wiki kadhaa baada ya hapo Maisha yataendelea kama kawaida.

kama kuna Mtu ana rekodi ingependeza sana angetuwekea ma nyaraka kadhaa yanayotolewa na kanisa yaliwahi kumtisha Rais gani wa Nchi hii?

Tena kile ki Mzee Mwinyi ndio Hatare kabisa …anawasikiliza mnavyomtukana vyema sana na hata ikibidi anaweza akawaomba radhi lakini akitoka hapo anaendelea na mambo yake kama kawaida

Alimfanyia hivyo Nyerere kwny kufuta Azimio la Arusha na kuruhusu Uhuru wa watu kujieleza …kanisa nalo likamsakama sana lakini aliwaheshimu sana lakini hakuruhusu wachezee Mamlaka yake ya ki dola, the same to Mwana kijiji mwenzangu wa Msoga …tena mnakutana kwny Vikao mnampangia mikakati, kabla ya kutoa press release ya Waraka tayari yeye ana nakala kupitia Wandani wake waliopo Kanisani

Dola inazijua sana Taasisi za kidini pamoja na mapungufu yake, hayati JPM alipoanzisha heka heka ya vyeti feki na kukagua Fedha za Serikal kila eneo ikiwemo zinazokwenda kwny Taasisi za Kidini alikutana na Madudu mengi sana hadi Yule Sister Mkuu wa Idara ya Fedha na Bajeti wa pale Bugando alijirusha kutoka ghorofani na kufariki papo hapo

Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
Mkuu naona unalalamika sana. Sasa wewe unaona suluhisho kwa huu wizi wa Samia kuuza rasimali za taifa kwa waarabu ni lipi? Wewe unashaurije?
 
Hatulalamiki tuna jadili

Nyie ndio Muislam akiunga Mkono Mkataba wa DP World mnamwita Mdini, Mie Mkristo akipinga Mkataba najua ni haki yake ya kikatiba halafu nafanya nae mjadala

Sasa hivi hata wale Waislam walevi na wazinzi wameelewa Siasa za TEC

TEC wamesema hawataki kabisa Muarabu apewe Bandari na Chadema wanasema hawana shida na Muarabu shida yao ni vipengele kadhaa tu vya Mkataba

Nawe Msimamo wako upi wa Chadema au Kanisa?, tuanzie hapa kwanza

Mie siukubali Mkataba wa DP World sio kwa sababu za Kimkataba mie siukubali kwa facts za kiuchumi na nina hoja zangu lakini pia sikubaliani na hoja za Kanisa za kutaka Bandari iachwe iendelee kama ilivyo

Twende kwenye mjadala sasa …napenda sana mijadala
 
Wamemsogeza karibu wakampige nyundo live. KKKT hawajawahi kuwa na uchawa kama BAKWATA. Watamkaanga live bila kupepesa macho kwa suala lake la kuuza nchi kwa waarabu wa DPW.
Siwaamini sana KKKT. Ubovu wa KKKT hawapo imara kama taasisi ukilinganisha na Katoliki. KKKT wanaingilika kirahisi sana.

KKKT juzi tu wameyumbishwa na yule mchungaji wao wa Kijitonyama, Eliason Kimaro, na wameshindwa kumhamisha. KKKT mchungaji ni rahisi sana kuwa mkubwa kuliko kanisa, mfano huyo Eliason na yule wa Kimara anayeitwa Matsai. Kanisa Katoliki, hata padre awe na ushawishi kiasi gani, lakini kamwe hatakua mkubwa kuliko kanisa, yaani hata atembee kwenye maji kama Yesu.
 
Mie nahisi kama amepata jukwaa la kutolea tamko la kuufuta rasmi mkataba.
 
Siwaamini sana KKKT. Ubovu wa KKKT hawapo imara kama taasisi ukilinganisha na Katoliki. KKKT wanaingilika kirahisi sana.

KKKT juzi tu wameyumbishwa na yule mchungaji wao wa Kijitonyama, Eliason Kimaro, na wameshindwa kumhamisha. KKKT mchungaji ni rahisi sana kuwa mkubwa kuliko kanisa, mfano huyo Eliason na yule wa Kimara anayeitwa Matsai. Kanisa Katoliki, hata padre awe na ushawishi kiasi gani, lakini kamwe hatakua mkubwa kuliko kanisa, yaani hata atembee kwenye maji kama Yesu.
Merhodius Kilaini alivyolamba Mgao wa Escrow alichukuliwa hatua gani ?

Au Rushwa sio kosa kwa kina Kilaini? Issue ya Msingi sio Msimamo ni maadili
 
Hatulalamiki tuna jadili

Nyie ndio Muislam akiunga Mkono Mkataba wa DP World mnamwita Mdini, Mie Mkristo akipinga Mkataba najua ni haki yake ya kikatiba halafu nafanya nae mjadala

Sasa hivi hata wale Waislam walevi na wazinzi wameelewa Siasa za TEC

TEC wamesema hawataki kabisa Muarabu apewe Bandari na Chadema wanasema hawana shida na Muarabu shida yao ni vipengele kadhaa tu vya Mkataba

Nawe Msimamo wako upi wa Chadema au Kanisa?, tuanzie hapa kwanza

Mie siukubali Mkataba wa DP World sio kwa sababu za Kimkataba mie siukubali kwa facts za kiuchumi na nina hoja zangu lakini pia sikubaliani na hoja za Kanisa za kutaka Bandari iachwe iendelee kama ilivyo

Twende kwenye mjadala sasa …napenda sana mijadala
Kuboresha vipengele vya mkataba haiwezekani kwa kuwa tayari Samia na genge lake la mafisadi wamekula pesa za waarabu wa DPW na waarabu wametaifisha ndege yake. Huu mkataba bora ufutwe, waarabu warudishe ndege yetu tuachane nao.
 
Ndege ipo mkuu, hizo za kukamatwa ni taarifa zisizo na ukweli.
 
Back
Top Bottom